elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,743
Death is a necessary end and will come when it pleases.
umeongea kama mimi ninavyo wazaKufa kunatisha japo sina experience ya kufa, kuna siku naweza kujikuta nawaza juu ya kufa hua nakosa raha kweli kweli.
Napenda siku nikifa niwe nimemaliza kazi ya kuwasomesha watoto wangu na wana maisha yao.
Haaaa.wewe jamaa umenichekesha sanaUna uhakika uko hai!!
Mkuu hiyo mistari ya mwanzo (juu) umeandika kwa ujasiri sana kama vile unaona kifo ni jambo la kawaida, nakuhakikishia kifo hakizoeleki ndio maana miaka nenda rudi watu wanalia msibani, hayo maneno ya ujasiri yanatokana na kwamba hauumwi wala hujaona dalili ya roho kuacha mwili.najua siku ntakifa sababu hakuna binadamu aloandikiwa kuwa hai milele duniani
hali ya kujua kwanba siku ntakufa hainipi shida wala hainiathiri kivyovyote cz ndo utaratibu ulipo..ni must kwa kila kiumbe alichoumba muumba.
ningependa kusaidia walio katika shida...maskini wagonjwa na wajane..na watu waliotengwa na jamii na yatima.lakini sina uwezp.
ipo siku.
lasltly kumuomba muumba anisamehe nlipomkosea .na kusamehe walionikosea
kila mtu angepemda kuendelea kuishi..but kama yuko kwenye point of no return...hakuna namna.
Pole sana ndugu.. kifo hakizoeleki hata kidogo.Mdogo wangu kabla ya umauti alilazwa hospital ,wakati yupo hospital alikuwa anahofu sana ya kifo nasi tulikuwa waoga Wa kumpoteza .Tulikuwa tunalala hospital huku tumemkumbatia kwa zamu zamu mpaka manesi wanatufukuxa tunatoka njee tunavizia kuchungulia dilishani huku machozi yakitutoka sababu alikuwa anatuita kwa majina kwa sauti kubwa tumshike Japo mkono.lakini wakati ulivyofika alifariki akiwa na oksijeni na macho haoni ata kunishika mkono akuweza yaaniii daaahha! KIFO CHA UCHUNGU NA AKIZOELEKI
Hata mkizikwa wawili still hamtambuani wala hakuna anayeweza kuamka na kumwambia mwenzake kitu.Nilikua naogopa zamani ila sio sasa, ila nikifikiria kukaa kaburini mwenyewe natamani tuzikwe wawili ha ha ha
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Hahahahaaaa.. unaweza kujikuta machozi yanatoka unapokumbuka kifo..Mkuu hiyo mistari ya mwanzo (juu) umeandika kwa ujasiri sana kama vile unaona kifo ni jambo la kawaida, nakuhakikishia kifo hakizoeleki ndio maana miaka nenda rudi watu wanalia msibani, hayo maneno ya ujasiri yanatokana na kwamba hauumwi wala hujaona dalili ya roho kuacha mwili.
Niwe mkweli tu mimi naogopa kufa kinoma tena nikikumbuka kufa nakosa raha mno.
Subiri utakapooza kabla ya kufa ndio utaogopa kifo.Siogopi kufa.naogopa kuoza.
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Sawa mkuuNajua kuwa ipo siku na saa nitaitwa al marhum R Mbuna na yote niliyoyafanya yatafutika katika uso wa dunia isipokuwa matendo yenye kuendelea.
Sijali hata nikifa sasa hivi naamini watoto wangu hata nikifa leo kwa uwezo wa aliyewaleta duniani wataendelea na maisha kwa kadri alivyowakadiria. Sina uwezo wa kubadilisha lolote katika maamuzi ya na siku ya kifo changu.