CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,914
Habari za Mida?
Wajasiriamali poleni na wale tuliobinasifisha muda wetu baada ya sisi kutokuwa na kazi nao pia poleni.
Jioni hii niko naongea na Dada anaye uza uji baada ya kupita kupata kikombe cha uji. Huyu Dada kasoma Chuo cha Uhasibu Arusha na baada ya kuhitimu kaamua ajiajiri kwa kupija uji na kuuza.
Anasema kwa siku hupika Themos 15 zile kubwa kabisa za mahotelini. Na kwa sababu ana tumia vikombe vikubwa basi kila themos hutoa vikombe 8 tu.
Themos 15 x 8 ni vikombe 120.
Vikonbe 120 x 500= 60,000/
Akitoa gharama zote kama Sukari, mkaaa, Siagi, unga, Maji na maziwa basi anaweza tunza faida ya 30,000/
Siku mbaya huwa ni elfu 20 na siku zingine 25.
30,000/ x siku 30= 900,000/
Kwa mwezi anaweza pata hiyo pesa.
Mshahara wake kwamwezi anaojilipa ni mkubwa kuliko sisi wavaa tai asubuhi.
NB: Dada kasomea Procurement.
AIBU NA UOGA NDO MUHIMILI WA UMASIKINI WAKO.
Endelea kumuonea aibu Demu wako/Mchumba/mke/Rafiki/jirani yako/wafanyakazi wenzako na kadhalika.
Sent using Jamii Forums mobile app