mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Sawa kabisa Mshana.... Tuko pamojaDalili za ule mwisho mkuu! Ila zitaangamizwa zile nchi zenye madhambi ya kutisha kama hizi
Tanzania itanusurika
Sawa kabisa Mshana.... Tuko pamojaDalili za ule mwisho mkuu! Ila zitaangamizwa zile nchi zenye madhambi ya kutisha kama hizi
Tanzania itanusurika
Wana laana na sio wakristo ni mashetani Mungu awalaani na kizazi chote Amina.
hapo unaongelea maisha binafsi ya mapadri, hapa tunaongelea kanisa katoliki
Aliyesema ni Kadinali wa kanisa katoliki huko, sio mtu mdogo, ni mteule wa papa.
Hapo sasa Ndio uone seriousness ya kanisa!? Kama mtu ametuhumiwa na kanisa likamsimamisha ili kupisha uchunguzi what else did you expect? Kuna Wana JF makini na makinikia wewe ni the late
Kwa kufuatana na uelewa wako basi, kama katika jamii ya tz (nikiamini upo tz) kuna mafuska basi na wewe ni fuska?Acha kucheza na maneno nipe mahali linapokaa hilo kanisa katoliki nami nikuambie wanapokaa hao mapadri wakifanya huo ufuska. Ni wapi kama sio huko katoliki?? Katoliki sio mtu ni shirika ambalo haliwezi kufanya chochote, watu ndi hulawitiana humo ndani ya hilo shirika.
Nimesema tangu mwanzo kuwa sina chuki na mtu wala dini ya mtu.
Kwa kufuatana na uelewa wako basi, kama katika jamii ya tz (nikiamini upo tz) **** mafuska basi na wewe ni fuska?
Mseza mkulu wafumola kuzima.Ratiba ya ulimwengu, kwa wanaofuatilia dunia kwa jicho la unabii wa miaka zaidi ya 3000 iliyopita wanazidi kuimarika na kuona sababu za kumtafuta Mungu kwa dhati kabisa leo kuliko siku nyingine yoyote.
bado muda kidogo tu, dunia nzima itastaajabu.
Wakatoliki huu mchezo wanaupenda sana Sijui Kwanini.


aisee ulivowajumuishaKabisa, kama yule jamaa wa call me jTanzania kuna mapunga wengi kuliko hata ulaya,tatizo la tanzania ni usiri
Kufumuana nyuma.Mchezo gani
Unaposema ufuska unafanyika kanisa katoliki unaji expose ulivo na akili ndogo. Ufuska ni dhambi ni katazo katika amri za Mungu lakini binadamu wote wanaanguka kwenye dhambi na kanisa katoliki linakemea mno ufuska mifano miwiliMkuu;
Mimi sio mkatoliki na nimekuambia huo ufuska unafanyikia humo kanisa katoliki. Kama utaenda na mtiririko sijakoment popote kuwa Tanzania ni mafuska. Mbona unaniwekea maneno?? Ukatoliki wako ndo utunyime sisi kukomenti??
Haya basi tufanye hivi, weka hapa uthibitisho kuwa kanisa katoliki ni mafuska au mapunga, kama huwezi basi kauli zako hazima mashiko sepa tuMkuu;
Mimi sio mkatoliki na nimekuambia huo ufuska unafanyikia humo kanisa katoliki. Kama utaenda na mtiririko sijakoment popote kuwa Tanzania ni mafuska. Mbona unaniwekea maneno?? Ukatoliki wako ndo utunyime sisi kukomenti??
thibitishaKufumuana nyuma.