Recent content by Mkereme

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete azungumza na wazee wa Dar; ajiandaa kwa mgongano na TUCTA

    Tsetse! You are absolutely right. Huwa simchukulii JK kuwa ni mtu serious. Kwanza forum aliyoitumia ya vizee na wakereketwa wa CCM haikuwa sahihi. Angewaita waandishi wa habari na akaruhusu maswali na kuwajibu TUCTA au wafanyakazi. As usual the same stupid Kapuya forgot kwamba mwaka 2007...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bilioni 300 zaibiwa kimafia Dar

    Abdulhalim! Kila siku nalia na sera mbovu za kifedha walizoparamia Ruksa na Mkapa. Wale wote kwao uchumi ulikuwa ni sawa ndoto ya mchana. Mwinyi was and still is a frustrated teacher na hata last year alichapwa kofi na kijana anayepaswa kuwa mjukuu wake simply kwa kushindwa kuusoma mhadhara...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CCM bila rushwa hakuna ushindi'

    Wewe Safari ni Safari! Kwani mpaka leo hii hujamshtukia mkulu kwamba ni msanii? Unakumbuka alivyokua akimwapisha Hosea Edward kwa mbwembe and after a few months the PCCB boss sexed the Richmond report akaibadilisha na Jakaya alipelekewa two copies the original and the sexed one na Kamati ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    Shedafa! Msamehe bure kwani alichopata wamegawana na Central Committee ya CCM. I have come to realise that Karamagi was only a messenger kwenye ile deal. Behind the scenes walikuwepo Lowasa; Rostam Aziz; and of course the capo of Mafia in the name of Jakaya Mrisho Kikwete. I dare to say it...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Was Gaddafi right to call for Nigeria to split?

    Ab-Titchaz! Thank you for your sober analysis. I tend to agree with you.The King of Libya (Gadafi) who has been in power for over 40 years, is tired and out of mind !The PARTITION as he calls it of Pakstan from India and formation of Bangladesh has not helped much. Up to now there are constant...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yaichukua rasmi kampuni ya reli (TRL)

    Kachero! Thumbs up nakubaliana na wewe mia kwa mia. Mchezo wa CCM tunaufahamu na watu kama wewe na mimi tuko wachache mno. Hilo dongo la macho sasa tumelichoka walianza na akina Dr.Idris Rashid na marehemu NBC mshirika akiwa Yona na Mkapa (ABSA naapa walipewa ile Bank ya TAIFA ya BAIASHARA bure...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yaichukua rasmi kampuni ya reli (TRL)

    Advocate Jasha! You are absolutely right hawa Cabinet wamekaa mkao wa kula. Kwa sababu walijua watapitisha sheria hovyo ya kubana wapinzani na shirika alipewa Rostam Aziz na washirika wenzake wametaka Serikali iwalipe hao RITES hewa pesa ili wakafanyie uchaguzi. Just imagine kama mahakama...
  8. M

    JamiiForums Tanzania EAC kujenga mtandao wa reli

    Abdulhalim! You are absolutely right huo ni ujiko wa wanasiasa uchwara kama Jakaya Mrisho Kikwete na akina MSEVENI. Kikwete and his bandwagon have never been serious as long as CCM haijawahi kufanya anything meaningful na hao partners wake whether ni wa short term or long term hakuna chochote...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa CCM UK

    Future-Tanzania! Inabidi tukupepee tukutoe mapepo sasa kwa akili yako ni ubalozi upi ambao sio wa CCM. You could be one of the chokambaya's. As long as CCM ndio wanatawala Tanzania mabalozi wote wataendelea kuwa wana CCM na harakati za kufungua matawi ni kuwavuta karibu hao wakimbizi wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Eh Bongo tunaua wachina hivi..

    M-bongotz! Who cares! Hiyo idadi ni ndogo mno na kuanza kuinyanyulia bango. We should be much concerned about the religious killings in hundreds in Jos Nigeria kuliko wachuuzi wachache kuuwawa Kariakoo or say the killings in Tarime. Of course we don't acccept killing of any innocent person but...
  11. M

    JamiiForums Tanzania What does this picture say about Us the People?

    Mtoto! Nakushukuru kwa mchanganuo wako mzuri. But at the end of the day itabidi wote tuungane na Fatmas ! We can talk mpaka uchaguzi the only way out hata kama naonekana kinganganizi we have to DIY do it yourself. Mitizamo ya kuitegemea serikali iwe ya mitaa au Kuu hatupeleki kokote kwani...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

    Wewe Campa! Why do you have to waste your time on this useless topic . Afadhali ungepigania watz wapate elimu huo uraia wa nchi mbili au call it duo citizenship unamsaidia nini mama yako kule Namtumbo au Kishapu where anakopwa korosho na pamba kwa wimbo wa stakabadhi ghalani? Take it from me...
  13. M

    JamiiForums Tanzania What does this picture say about Us the People?

    Mzee Mwanakijiji! It doesn't matter kama msimbazi iko chini ya Mbunge wa Ilala au la hata kama ingekuwa chini ya Pinda au lowasa na hata mwenyewe Jakaya Mrisho Kikwete. I have said it hawa watu ni majambazi pronto. Solution ni sisi tunaokerwa na uchafu kuinua mafyagio na kuifanya hiyo kazi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania What does this picture say about Us the People?

    Dear Fatmas! Nakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa. Watu wenye rangi nyeusi ni viumbe wa ajabu hapa duniani. Hakuna haja ya Mzee Mwanakijiji kuhoji mwanzo wa uchafu na watawala wa CCM walikuwa au wako wapi ? (CCM na mfumo wake wa uchumi na utaweala is long dead and buried)au hata wengine...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SFO: Hivi ndivyo Chenge alihusika kashfa ya rada!

Back
Top Bottom