Invisible
Robot
- Feb 11, 2006
- 9,075
- 7,878
Nafikiri kwenye hii mikataba kuna na kipengere kinachoikataza serikali kuiweka hadharani--yaani hata kama unaona umenyongwa shingo lakini jikaze baba. Sasa kama kuna hicho kipengere kumbe BARRICK ndo watakuwa wa kwanza kuipeleka mahakamani lakini si mahakama za Tanzania kwani hazina uwezo wa kisheria.
Ndo mambo ambayo JK alienda scandnavia akaishiwa cha kuomba ikabidi aaombe wataalamu wa kutusaidia kusaini mikataba. Nafikiri na wenyewe walimwona CHIZI NO.1
Turejee kwenye hoja mama...
Mkataba ushawafikia wengi. Naamini zile kurasa 24 zimeweza kusomeka kirahisi. Now ni kweli ni mbovu kiasi hicho?