What does this picture say about Us the People?

Nimegundua ni rahisi zaidi kwa watawala wetu kutokea wakitoa misaada kuliko kuonesha mifano ya kujitegemea wao wenyewe. Kwa hiyo kama kwenye suala hili anaweza akatokea mwanasiasa na msaada wa gari la kusombea uchafu.. halafu akatimka zake..
 
.........................an excellent proof on our addiction to mediocrity.
 
.Yaah! From our mind and habit

Definately ! and it shouldn't be voluntary, that doesn't seem to be working, military style!! If only we could borrow Kagame for a year or two... What Im trying to say is we need a revolution as in the real thing
 
Na hii hapa chini maeneo ya Msasani

Hapa ni njia ya kituo cha Polisi cha Msimbazi kama kinavyoonekana kwa mpiga picha. Nimepata picha hii toka kwa Evarist Chahali FB;

Ninajiuliza:
a. Uchafu huu ulianza kujirundika lini hapo? Ni wazi haikutokea siku moja ghafla bin vuup!
b. Ulipoanza kujirundika wahusika walikuwa wanafikiria nini? ni maua yanaota pembeni au mbolea?
c. Je kuna uwezekano wa wataalamu wa biolojia na viumbe hai kufanya utafiti kuona kama kuna jamii mpya ya viumbe hai imeanza kuishi humo na hivyo kutangaza eneo hilo kuwa ni hifadhi ya viumbe hai na kuwa ni "protected area"!?
d.Watu wanaoishi jirani na eneo hilo wanasubiri mwekezaji kutoka nchi gani kuja kuwasaidia kuwaonesha kuwa huo ni uchafu? au wanaamini "somebody's trash is someone's treasure"?
e. Inawezekana sisi ni taifa la watu waliozoea uchafu kiasi kwamba uwepo wake hautushtui tena kwani tumetengeneza some sort of immunity towards uchafu? Yaani hatuoni tatizo kupita na suti zetu, kupaki magari yetu na hata watoto kucheza mbele ya uchafu?
d. Do you see any similarity ya wananchi wa Tanzania na viongozi wabovu?

Kweli MMM sisi wa Tz tumezidi mno uchafu wa nje mabarabarabi mpaka ndani, bora wenzetu wazungu wa huko majuu uchafu wao ni wa ndani nasikia wakioga ng'wele zao zinakatika hadi kuziba bafuni, hawazitoi wakishaoga.
 
Umejuaje umemuwahi he was about to say Slaa anapokea tu mshahara wala halioni hili

Ha ha ha,

nilimshtukia waberoya muda mrefu. atakuja na stori kibao... ohh miaka yote hii Slaa alikuwa wapi asiondoe huo uchafu. Mrema je, Mbowe je... kisha atamalizia na signature line yake - wapinzani wote hovyo kabisa, bora sisiemu iendelee kupeta.

ukimbana ataanza kujisifia kuwa alikuwa waziri wa daruso na amedizaini majengo kibao tu duniani. Mara ohhh yeye ni injinia bora kabisa wa afrika. Ukimuuliza kutoa uthibitisho atakuuliza kama wewe ni mchaga au mtu wa kaskazini.
 
Tunasubiri mgeni aje tutakumbuka kusafisha ila kwa sasa ni pouwa tu mradi mwisho wa mwezi wanapata mshahara!
 
Tunasubiri mgeni aje tutakumbuka kusafisha ila kwa sasa ni pouwa tu mradi mwisho wa mwezi wanapata mshahara!

Kweli kabisa MR

on a side note:
Ila waberoya "akianzisha chama imara" cha upinzani basi uchafu huu utakuwa historia.
 
Inaonekana Mwanakijiji hujashuka Bongo kitambo. Sisi tunaoishi huku uswahilini, hiyo siyo stori. People fight to survive.

Mwaka juzi nilikuwa bado natupa takataka nilizoshika mkononi kwenye dustbin. Nilikuwa naitafuta kwa udi na uvumba. I am no longer doing that now. Natupa popote huku uswahilini.
 
Hilo ndio neno
 
Ha ha ha,

nilimshtukia waberoya muda mrefu. atakuja na stori kibao... ohh miaka yote hii Slaa alikuwa wapi asiondoe huo uchafu. Mrema je, Mbowe je... kisha atamalizia na signature line yake - wapinzani wote hovyo kabisa, bora sisiemu iendelee kupeta.

ukimbana ataanza kujisifia kuwa alikuwa waziri wa daruso na amedizaini majengo kibao tu duniani. Mara ohhh yeye ni injinia bora kabisa wa afrika. Ukimuuliza kutoa uthibitisho atakuuliza kama wewe ni mchaga au mtu wa kaskazini.

Kumbe jamaa unamjua ukimbana zaidi anasema mimi ni lecturer hapo chuoni au mimi nachukua kozi hiyo huku marekani kazi zote ni zake sijui huwa anazifanya vipi kwa wakati mmoja ana tabia ya kujiboss sana
 
Inaonekana Mwanakijiji hujashuka Bongo kitambo. Sisi tunaoishi huku uswahilini, hiyo siyo stori. People fight to survive.

Mwaka juzi nilikuwa bado natupa takataka nilizoshika mkononi kwenye dustbin. Nilikuwa naitafuta kwa udi na uvumba. I am no longer doing that now. Natupa popote huku uswahilini.
Kwa hiyo hii hali umeridhika nayo
 
Tusitafute wa kumlaumu jamani!! makosa ni yetu wenyewe tunaoishi katika maeneo haya.
Its about time we wake up and clean after ourselves.
 
d. Do you see any similarity ya wananchi wa Tanzania na viongozi wabovu?

Yes,hakuna anayejali chochote.
 
Mkuu wa kituo cha polisi anajisikiaje kwa uchafu huu?

Hiyo Tisa, hao askari wamegeuka wajasiliamali. Pita hapo nyuma ya jengo hilo la polisi msimbazi uone jinsi walivyofunga vikapu vya kushushia maji ya uhai. unaweza usiamini.unaweka pesa kwa kikapu theni wanakushushia maji kwa kikapu kingine. Yaani maisha ya askari wetu yanasikitisha.
 
Tusitafute wa kumlaumu jamani!! makosa ni yetu wenyewe tunaoishi katika maeneo haya.
Its about time we wake up and clean after ourselves.

Dear Fatmas!

Nakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa. Watu wenye rangi nyeusi ni viumbe wa ajabu hapa duniani. Hakuna haja ya Mzee Mwanakijiji kuhoji mwanzo wa uchafu na watawala wa CCM walikuwa au wako wapi ? (CCM na mfumo wake wa uchumi na utaweala is long dead and buried)au hata wengine kumkejeli kwamba hajafika bongo siku nyingi.
Let me tell you kuna haja ya kutafakari kwa kina maoni ya Fatmas.
Nilitembelea nchi kadhaa Afrika na Asia wameamua kuendeleza na kusimamia dhana hii ya kufanya mwenyewe. They call it DIY(Do it yourself) kwa mfano ukifika home ukaona uchafu au uwanja haujafagiliwa just chukua fagio na ufagie mwenyewe hata kama mamsapu /housegirl/houseboy or even your kids are around. This is the only way we can make things go .

Hivyo hivyo kwa mambo yote hata kama ni nje ya fence yako just do it your self mpaka kuosha sahani by so doing mambo yatakwenda. Wanaozungukwa uchafu huko Msasani, Msimbazi au keko they must blame themselves first after all hakuna wanachofanya manisipaa apart from kujaza matumbo yao take it from me and that is the reality.

Mzee Mwanakijiji tuachane na hii tabia ya kulaumiana after all we have not entered into any formal contract na hawa mabwana kutufanyia usafi so what hata kama hawazoi sisi we are all powerless tunajivunia tu uchaguzi fake!!!

Waone SUMTRA NA POLICE walianza kukomalia reckless daladala bila kujua ya kwamba ni za watawala. Akatokea mjinga mmoja anaitwa Lukuvi Rais waw DAR akawapiga stop. Initialy wakambana akayield but only for a week, lakini Baadae akaenda kaa na kamati ya siasa wakaambiana huu ni mwaka wa uchaguzi so kill the Majembe Contract for a while mpaka tupate kura and you see Majembe wakingia mtini na fujo za vipanya na bajaji ziko pale pale .

So take it as a lesson hawa majambazi wako tayari kutoa kafara maisha ya watu ili mradi tu washinde therefore uchafu is here to stay unless tutumie mbinu ya fatmas otherwise imekula kwetu na tutachonga sana!!!!
 
Maskini haka katoto hata ndala miguuni hamna. Sasa huyu lazima atazoea uchafu mpaka akiwa mtu mzima haoni tofauti ya uchafu na usafi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom