Wakuu,nafuatilia kwa umakini hii bajeti ya mwaka wa fedha 2012/2013,ni bayeti ya kukomoa,kuanzia Mawasiliano,Pombe,Sigara,Magari,vimepanda....
Mbaya zaidi huyu Waziri wa fedha anasoma huku anacheka,ini hali akijua kuwa inaumiza wananchi...Lengo la Bajeti hii ni kuongeza Pato la Taifa na...