Kwa wale wa jeshi tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wale wa jeshi tu

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Simbamtemee, Jul 18, 2012.

 1. S

  Simbamtemee Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jamani kwa wale wenzangu na mimi mnaosubiria ajira za jeshi,nimepigiwa simu niende makao makuu ya wizara ya ulinzi kuwa nimechaguliwa kujiunga na jeshi kambi ya kigoma na niandikapo thread hii najaza fomu yao...kiufupi nlifanyiwa mchongo manake bila m2 Tz hii kazi bure...nawasilisha tu jamani sina uhakika kama post zimeshatoka tayari..kwa anaetaka maelezo zaidi pls ni PM
   
 2. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  hutokuwa askari mzuri kamwe kwani umeingia kwa mlungula
   
 3. c

  chaani Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Jipange upya kaka hakuna kambi ya mafunzo ya recruit ya JWTZ KIGOMA recruit hupitia MAKUTUPORA na DSM kwa PROFESIONAL ukiniambia umepata nafasi ya JKT ntakuelewa haijawahitokea wa2 kuandikishwa na kupangiwa kikosi direct usiwarushe roho wenzako
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,018
  Likes Received: 23,936
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa mkuu. Kama dogo alitoa mlungula ndo kishaula wa chuya tena.
   
 5. S

  Simbamtemee Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuwa mwelewa kjn,mimi cjataja jwtz wala jkt,kifupi ni jkt
   
 6. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  uko sahihi kaka, watu ukiwambia jeshi wanawaza JWTZ mojakwamoja, wakati pia JKT, MAGEREZA, UHAMIAJI, POLISI yote ni majeshi.
   
 7. mjunguonline

  mjunguonline Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unetoa Rushwa sio?Tutakushughulikia..Maana Hata Interview hujafanya wewe..Kwa Lugha rahisi hujapimwa,Ukimwi,Kam Ni Rijalii,Au kama sio Ridhiki,Matege,Presha,Kisukali,Kuona Vizuri,Mishipa za Chini ya Paja n.k...we ngoja utaona...
   
 8. Y

  YOSAYOSA Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ingekuwa kweli uandikayo basi TZ yetu ikuwa safi,hii ni sawasawa na Fisi kumtishia Simba
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Hivi kumbe kupata kazi jeshi nayo inataka kuhonga? Namshukuru Mungu sijawahi kumuhonga mtu anipe kazi...asiyenitaka achape lapa sina habari naye.
   
 10. Elly Andrew

  Elly Andrew JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 372
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Jamani hii habari ni kweli kabsa japo kuwa deadline ilikuwa juzi lakni bado wanapokea barua...source: mm ,macho yng na maskio yangu yameshuhudia,juz waliitwa watu 50.
   
 11. b

  bmerdad Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  PLEASE,ku PM ndio nini?mana nataka tuwasiliane ila means za mawasiliano ndo sijazielewa.
   
 12. Askari wa miguu

  Askari wa miguu JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unazungumzia JWTZ au JKT?
   
 13. Elly Andrew

  Elly Andrew JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 372
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  nilikuwa Makao makuu Upanga leo na mm nmeskia kuanzia mwaka huu mnapitia J.k.t hata kwa professionals coz hata J.k.t nao wanawahtaj pia,bt mm haikujalisha ni Jw au jkt but nahtaj jesh tu,so kwa meng zao we attend kesho then utajioneo,ok?
   
 14. mpalu

  mpalu JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 2,491
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  nn watu ndo wameenda wapo kama 700 kweataarifa yenu na mi kuna mshikaji namfahamu ameenda hii ndo TANGAN oooo sory tz bana
   
 15. c

  chaani Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  sawa mpalu kuna tofauti kubwa kati ya JKT na JWTZ hivyo ni vizuri uwe specific unazungumzia nn
   
 16. K

  Kipimbwe JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Na kama unahonga kuingia JKT wewe ni mbumbumbu na nakuahidi utakuja kuwa auxilliary mjinga
   
Loading...