Recent content by MISHEMISHE JAMI

  1. M

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Lushoto

    msambaa wakorogwe kazaliwa korogwe na wa lushoto kazaliwa lushoto
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kifo cha CCM kimetimia

    wewe una kisirani tu na umekata tamaa kaa kando acha wenye point za maana waongee
  3. M

    JamiiForums Tanzania Top 6 Most Romantic Men in Africa

    hapo umejijibu mwenyewe kumbe wanafuata pesa zenu sio mapenzi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye jimbo la Ubungo lapata viongozi wapya

    ukweli usemwe tu hata kama unauma waislamu sio kwamba hawatakiwi chadema na wenyewe wamegundua kwamba chadema sio chama chao na hao waliobakia huko ni vichwa maji
  5. M

    JamiiForums Tanzania Diamond achaguliwa kuwania tuzo za BET

    Huyu jamaa mziki wake uko juu.anatuwakilisha.ila katabia kaendane na hadhi yake.ushauri tu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu avurugwa.

    Tundu lissu ni mwongo namba one tz.asiposhughulikiwa atagawa watu
  7. M

    JamiiForums Tanzania NAIBU Meya Arusha matatani tena ufisadi wa milioni 8

    Chadema chama kilichojaa mijizi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wasabato ujumbe wenu huu hapa

    sizani kwamba hapa atapatikana mshindi ni bora kila mtu akaheshimu imani ya mwenzake
  9. M

    JamiiForums Tanzania Warioba aliomba lifti kutoka Dodoma kuja Dar kisa CCM hawaipendi rasimu!

    kwani alienda na nini dodoma.hadi leo anategemea lift
  10. M

    JamiiForums Tanzania Siipendi CHADEMA kwa asilimia mia

    Unawachokoza wachagga
  11. M

    JamiiForums Tanzania Belgistan : Sharia showdown looms in Brussels where Muslims are now a majority

    Wazungu wengi sasa wameanza kuusoma kwa undani na kugundua upotoshwaji mkubwa uliokuwa ukifanywa na makafiri na makabaila ili mifumo yao ya ukandamizaji na unyonyaji ikubalike duniani kote.kuanza kutumika kwa kasi kwa mifumo ya kislaamu ya kibenki na bima kunaenda sambamba na kusilimu kwa watu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Siipendi CHADEMA kwa asilimia mia

    Chademaaaa kutoka chama kikuu cha upinzani hadi chama kikuu cha vurugu na ushambenga
  13. M

    JamiiForums Tanzania Siipendi CHADEMA kwa asilimia mia

    Msimtukane mnachotakiwa kufanya ni kurekebisha kasoro zilizotajwa kwani wote wanaoichukia chadema wanatoa kassoro hizo.la sivyo mtabaki na wanywa viroba tu ambao hata hawana vitambulisho vya kura.
  14. M

    JamiiForums Tanzania TBC Imepoteza Sifa ya Kuitwa TV ya Taifa

    Tbc ndio televisheni yenye afadhali nyingine uozo
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia AFP avamiwa huko Chalinze

    Chadema mnajichimbia kaburi wenyewe ni kichaa tu atakakisapoti chama cha shari
Back
Top Bottom