MISHEMISHE JAMI
Member
- Sep 9, 2013
- 60
- 5
Chademaaaa kutoka chama kikuu cha upinzani hadi chama kikuu cha vurugu na ushambenga
Msimamo huu unatokana na tabia ya vionfozi wa chadema kufanya mambo yafuatayo kila kukicha;
1. Viongozi wa cdm kutukana Serikali kila kukicha
2. Viongozi kudai eti ni wakombozi wa Watanzania
3. Viongozi kuwafukuza wanacdm wasiotoka Kaskazini
4. Viongozi wa cdm kuendesha mikutano mingi sana kanda ya ziwa, Kati, Magharibi, na Dsm kana kwamba Kilimanjaro walishaendelea mno na kwamba hakuna matatizo.
5. Chadema kutofanya mikutano jimbo la Vunjo na kulalamikia kasi ndogo ya maendeleo pia hata kutukana Mbunge wa Vunjo.
6. Chadema kulazimisha Sedikali tatu na kutaka kuwachochea Wananchi waandamane kwa faida yao.
7.Cdm kutumia mamilioni ya fedha za ruzuku kwenye kampeni ambazo hazina tija.
8. Chadema kuongozwa na Mbowe asiyekuwa na Elimu yeyote ile.
9. Chadema kuendelea kupanga kwa Mbowe na kutozwa kodi kuuubwa ya pango.
10. Chadema kuwa na wsnachama, wafurukutwa, washabiki wengi wanywa viroba na bangi.
Wewe mwehu kabisa kwani usipoipenda unaipunguzia nini wewe kilaza baki na chama chako cha MAJAMBAZI,kinacho minya uhuru wa mawazo na kung'ang'ania madaraka,kwanza wananchi wameshawajua vyakutosha jinsi mnavyowafanya kuwa wajinga,viongozi wenu kama wanatupeleka kusiko lazima tuwaseme hata kwakuwatukana hata wewe ------ tu na kubwa jinga na wewe inaonesha upeo wako mdogo kama maviongozi yako na ndo maana unapost ujinga wako shenzi mkuma wewe.ikome chadema ni chama cha ukombozi.
Huyu anatuwakilisha mamilioni ya watanzania.
Mtu anayeshabikia CHADEMA mara nyingi upstairs hayuko vizuri.....
Ww ni mwehu, kumbe hata jf kuna mwehu kama huyu shetani
ndo maana Mwigulu anakupenda.
Nina wasiwas na erim yako! unajua erim sio makalatas
Nimesoma hizo sababu zako number ## 8
Nina swali; Hivi Kuishia FORM VI sio elimu yoyote? Sasa kulikuwa na Rais wa Zanzibar
Rais wa kwanza wa Zanzibar - Karume had little formal education and worked as a seaman before entering politics
Idris Abdul Wakil (192515 March 2000) was the President of Zanzibar from 24 October 1985 to 25 October 1990
Aliishia Darasa la 8; na kwenda UALIMU... alikuwa kiongozi pekee ndani ya ASP aliyekuwa na ka-ELIMU
** LAKINI WOTE Waliiongoza NCHI YAO... kwahiyo then Unakichukia CHAMA CHA MAPINDUZI kwa sababu HIYO ?? au ni Unafiki ???
Kati ya zooote ya MUHIMU ni hiyo # 8; kwahiyo nimekupa mfano kwa MARAIS ambao hawakusoma kama Unavyosema - Lakini waliiongoza Zanzibar vizuri tuuu...
Ukitaka SIASA ondoa CHUKI; Vyama vya KISIASA ni uhusiano wako na nafsi yako; HauitaJI KUTANGAZIA ULIMWENGU KASORO ZAKO
c.c Makusudically
Leta single nyingine hiyo ilishachuja na kubuma! M4C PAMOJA DAIMA ndiyo habari ya watu walio timamu kwa sasa!
Mtu anayeshabikia CHADEMA mara nyingi upstairs hayuko vizuri.....
Kama Mbowe alikuwa na zero wewe utakuwa na negative,ulichoandika nahisi ni wale la saba wanao faulu huku hawajui kusoma wala kuandika..Nimepitia post zote nakugundua kuwa kuna baadhi ya Wanamaker CDM wameathirika Na upenzi , Mbowe alihitimu Form VI nakupata dv gani? Kuna huna habari, Mbowe alivuna ZERO. Kama hiyo ni Elimu basi hongera. STD viii ya zamani ni saws Na first Degree ya Leo. Halafu kumbuka Maris Wa Zamani kuongoza nchi bila Elimu ilikuwa sawa Keanu Hata waongozwaji nao hawakuwa Na Elimu za juu. Leo itawezekanaje Mbowe aongoze maprofesa
Imepwaya lumumba ila uraiani ngoma inogile..Hata m4c imechuja sana haina inshu wala dira na sera ya mafisadi imepwaya tafuteni sera nyingine