Siipendi CHADEMA kwa asilimia mia

Siipendi CHADEMA kwa asilimia mia

Wewe mwehu kabisa kwani usipoipenda unaipunguzia nini wewe kilaza baki na chama chako cha MAJAMBAZI,kinacho minya uhuru wa mawazo na kung'ang'ania madaraka,kwanza wananchi wameshawajua vyakutosha jinsi mnavyowafanya kuwa wajinga,viongozi wenu kama wanatupeleka kusiko lazima tuwaseme hata kwakuwatukana hata wewe ------ tu na kubwa jinga na wewe inaonesha upeo wako mdogo kama maviongozi yako na ndo maana unapost ujinga wako shenzi mkuma wewe.ikome chadema ni chama cha ukombozi.

Tukianza kutaja vyama na kuorodhesha sababu za kutovipenda hapa.JF Server haitatosha. Hongera kwa kusema ya kwako. Lakini,waache wanaoipenda waipende na wewe endelea kupenda magambani kwako. Ya CHADEMA hayakuhusu
Mkuu PetroE.Mselewa, nini maoni yako juu ya majibu ya mkereketwa mwenzio wa chadema hapo juu.
Kwanini msiwafundishe vijana kama huyo kutoa majibu ya kiungwana kama yako?
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA zama zao zimekwisha.alafu nilichogundua watu wenye makengeza Hawako sawa muone Mboe na Jusa.
 
mungu si A thumani pia mcheka kilema hafi bila kukipata,nadhani atakupa pia kilema hicho cha jicho au mwanao.kama kweli anatenda haki
 
Chama cha kidini na ukabila cdm

Ni chama cha dini gani na kabila gani, hebu nifahamishe nijue kama kitanifaa au hakitanifaa kwa sababu sasa hivi naona ktk vyama tunakwenda kikabila na kidini
 
Msimamo huu unatokana na tabia ya vionfozi wa chadema kufanya mambo yafuatayo kila kukicha;
1. Viongozi wa cdm kutukana Serikali kila kukicha
2. Viongozi kudai eti ni wakombozi wa Watanzania
3. Viongozi kuwafukuza wanacdm wasiotoka Kaskazini
4. Viongozi wa cdm kuendesha mikutano mingi sana kanda ya ziwa, Kati, Magharibi, na Dsm kana kwamba Kilimanjaro walishaendelea mno na kwamba hakuna matatizo.
5. Chadema kutofanya mikutano jimbo la Vunjo na kulalamikia kasi ndogo ya maendeleo pia hata kutukana Mbunge wa Vunjo.
6. Chadema kulazimisha Sedikali tatu na kutaka kuwachochea Wananchi waandamane kwa faida yao.
7.Cdm kutumia mamilioni ya fedha za ruzuku kwenye kampeni ambazo hazina tija.
8. Chadema kuongozwa na Mbowe asiyekuwa na Elimu yeyote ile.
9. Chadema kuendelea kupanga kwa Mbowe na kutozwa kodi kuuubwa ya pango.
10. Chadema kuwa na wsnachama, wafurukutwa, washabiki wengi wanywa viroba na bangi.
wewe chumkia sana mamaako na umtukuze mama mkwe.
 
kama upo Dar basi sikiliza 93.7 efm utaanza kuikubali...
 
Nimesoma hizo sababu zako number ## 8

Nina swali; Hivi Kuishia FORM VI sio elimu yoyote? Sasa kulikuwa na Rais wa Zanzibar
Rais wa kwanza wa Zanzibar - Karume had little formal education and worked as a seaman before entering politics

Idris Abdul Wakil (1925–15 March 2000) was the President of Zanzibar from 24 October 1985 to 25 October 1990

Aliishia Darasa la 8; na kwenda UALIMU... alikuwa kiongozi pekee ndani ya ASP aliyekuwa na ka-ELIMU

** LAKINI WOTE Waliiongoza NCHI YAO... kwahiyo then Unakichukia CHAMA CHA MAPINDUZI kwa sababu HIYO ?? au ni Unafiki ???

Kati ya zooote ya MUHIMU ni hiyo # 8; kwahiyo nimekupa mfano kwa MARAIS ambao hawakusoma kama Unavyosema - Lakini waliiongoza Zanzibar vizuri tuuu...

Ukitaka SIASA ondoa CHUKI; Vyama vya KISIASA ni uhusiano wako na nafsi yako; HauitaJI KUTANGAZIA ULIMWENGU KASORO ZAKO

c.c
Makusudically
 
huwezi ipenda sababu inawaamsha wananchi na kufanya baba na mabwana zenu waibe kwa kutumia akili nyingi tofauti na hapo kabla mlizoea mdebwedo na kusinzia bungeni.pia nani kakudanganya kuwa uongozi ni elimu!,mbowe anawazidi magamba wengi tu kwa hekima huo ndio uongozi,yule mama wa mbeya anaitwa mwa.njelwa sijui si ni msomi?, mbona aliiba vidani na mataulo ujerumani.au ndo matumizi ya elimu hayo.
 
Msimamo huu unatokana na tabia ya vionfozi wa chadema kufanya mambo yafuatayo kila kukicha;
1. Viongozi wa cdm kutukana Serikali kila kukicha
2. Viongozi kudai eti ni wakombozi wa Watanzania
3. Viongozi kuwafukuza wanacdm wasiotoka Kaskazini
4. Viongozi wa cdm kuendesha mikutano mingi sana kanda ya ziwa, Kati, Magharibi, na Dsm kana kwamba Kilimanjaro walishaendelea mno na kwamba hakuna matatizo.
5. Chadema kutofanya mikutano jimbo la Vunjo na kulalamikia kasi ndogo ya maendeleo pia hata kutukana Mbunge wa Vunjo.
6. Chadema kulazimisha Sedikali tatu na kutaka kuwachochea Wananchi waandamane kwa faida yao.
7.Cdm kutumia mamilioni ya fedha za ruzuku kwenye kampeni ambazo hazina tija.
8. Chadema kuongozwa na Mbowe asiyekuwa na Elimu yeyote ile.
9. Chadema kuendelea kupanga kwa Mbowe na kutozwa kodi kuuubwa ya pango.
10. Chadema kuwa na wsnachama, wafurukutwa, washabiki wengi wanywa viroba na bangi.

Nina wasiwas na erim yako! unajua erim sio makalatas
 
1013165_548810871844995_387610025_n.jpg

Na chama cha kigaidi je, ni chama gani?
 
Tupe sababu za kuyapenda magamba 100% lakini usisahau ile ya kutumia green guard na polis ccm kutisha wapinzani wao kama walivyo mdhalilisha yule mbunge wa chadema kule iringa!
 
!
!
mimba zinamfanya mtu aoneshe tabia tofautitofauti has zikiwa changa.
ukijifungua utaipenda tu usijilaumu ni hali tu
 
Una matatizo wewe unayeendelea kuipenda chadema iliyopoteza mwelekeo. Kwa vyovyote vile utakuwa msukule!
 
Msimtukane mnachotakiwa kufanya ni kurekebisha kasoro zilizotajwa kwani wote wanaoichukia chadema wanatoa kassoro hizo.la sivyo mtabaki na wanywa viroba tu ambao hata hawana vitambulisho vya kura.
 
kunywa sum ya panya au chimba shimo shimo ujifukie ili ucckie tena hbr za cdm!!!!! viva chadema viva!!!!!!
 
Back
Top Bottom