Hatimaye jimbo la Ubungo lapata viongozi wapya

Hatimaye jimbo la Ubungo lapata viongozi wapya

Hivi kuna mwislamu anayeitwa weston? Au umeleta unafiki? Hivi makamu wa rais ni dini gani? Kwa nini Alipotoka IGP Mahita (Mwislamu) aliteuliwa Said Mwema? Wewe Bwana acha ujinga!... Ukileta Udini utakwazwa kwa kila kitu.
Wala usihangaike nae , huyo ni njaa kali msakatonge tu ,hana lolote wala chochote.
 
Kama mi naleta utumbo wee lete nyama. Mada mnyika hatyimtaki tena ameshindwa na kwenda na kasi ya maendeleo. Anajifanya kuitukana serikali ya c.c.m alafu mshahara anapokea kutoka c.c.m
 
Naheshimu mods na watanzania wasiopenda niende mbele zaidi ya nilivyokujibu?!!...
ukweli usemwe tu hata kama unauma waislamu sio kwamba hawatakiwi chadema na wenyewe wamegundua kwamba chadema sio chama chao na hao waliobakia huko ni vichwa maji
 
ukweli usemwe tu hata kama unauma waislamu sio kwamba hawatakiwi chadema na wenyewe wamegundua kwamba chadema sio chama chao na hao waliobakia huko ni vichwa maji
wewe kichwa tope?
 
ukweli usemwe tu hata kama unauma waislamu sio kwamba hawatakiwi chadema na wenyewe wamegundua kwamba chadema sio chama chao na hao waliobakia huko ni vichwa maji

Ni kweli kabisa CCM haitaki wakristo.. Hata waliobaki huko ni vichwa ngumu!... Mikakati mizito inaendelea kupachika watu kwa misingi ya udini. Hata UDOM iko hivyo!
 
Kama mi naleta utumbo wee lete nyama. Mada mnyika hatyimtaki tena ameshindwa na kwenda na kasi ya maendeleo. Anajifanya kuitukana serikali ya c.c.m alafu mshahara anapokea kutoka c.c.m
kweli wewe hamnazo, sasa aisifie ccm kwa lipi? pili halipwi kwa kodi za ccm analipwa na kodi yako wewe na hiyo ccm inalipwa ruzuku na serikali na anayelipwa na ccm ni nepi. chukua hiyo.....!!!
 
Kama mi naleta utumbo wee lete nyama. Mada mnyika hatyimtaki tena ameshindwa na kwenda na kasi ya maendeleo. Anajifanya kuitukana serikali ya c.c.m alafu mshahara anapokea kutoka c.c.m

ukweli usemwe tu hata kama unauma waislamu sio kwamba hawatakiwi chadema na wenyewe wamegundua kwamba chadema sio chama chao na hao waliobakia huko ni vichwa maji
ACT iko ujiji tu.. Alhaj Zitto amewapa shilingi ngapi katika zile za ESCROW?
 
siku ingine ukiwa unapost utumbo kama huu uwe unaandika kabisa ni viongozi wa nini ili watu wasio na muda wakuusoma utumbo kama huu wapite. nilifikiri labda uchaguzi wa kitu cha maana kumbe wa waganga njaa.

siku ya jana takribani muda wa saa 4:30 usiku uchaguzi wa kuchagua viongozi wa chama ngazi ya jimbo ulikamilika na viongozi waliochaguliwa ni wafuatao:

viongozi wa jimbo:
m/kiti- Bonface Jacob (diwani wa ubungo)
katibu -Justine Gudluck
k/mwenezi -Aisha Yusuph
m/hazina -A.mwamanyaki

baraza la vijana (bavicha)-jimbo:
m/kiti-Shija Masanja
katibu-joseph samky
mhamasishaji-henry mosha

baraza la wanawake (bawacha):
m/kiti-Anna Linjewile
katibu - bi tekla
mhamasishaji-Bi Restuta

baraza la wazee:
m/kiti Rodrick Rutembeka
katibu - bi Amina Litaka

hawa ndio viongozi watakua viongozi wetu kwa kipindi cha miaka mitano. nawatakia mapambano mema katika uchaguzi wa serikali ya mtaa mwaka 2014 na uchaguzi mkuu mwaka 2015. people'ssssss
 
Ila jamaa mna akili sana nawakubali wale wachagga hamkuweka majina yao ya ukoo ila mmepiga mawili mawili tu ila hao akina Linjewike mmepiga na ya ukoo ionekana mambo sawa. Ila hapo wenye chama chao ni 70% mnajificha nyuma ya muashok mtaonekana tu.
 
siku ingine ukiwa unapost utumbo kama huu uwe unaandika kabisa ni viongozi wa nini ili watu wasio na muda wakuusoma utumbo kama huu wapite. nilifikiri labda uchaguzi wa kitu cha maana kumbe wa waganga njaa.
we unaganga shibe. mwiba umeshaingia huo chomoa basi....!
 
Povu la nini Mkuu? Kwani matokeo si hayomyanaonekana? Yafuta uwiano wa waislam na wakristo halafu uje hapa kutuambia kama tunaleta propaganda ama la
Unaona akili zako zlivyo za kijinga....kwa kilikuwepo kigezo cha dini kwa wagombea??? Umepakatwa sioo bure weweee
 
Ila jamaa mna akili sana nawakubali wale wachagga hamkuweka majina yao ya ukoo ila mmepiga mawili mawili tu ila hao akina Linjewike mmepiga na ya ukoo ionekana mambo sawa. Ila hapo wenye chama chao ni 70% mnajificha nyuma ya muashok mtaonekana tu.
wewe jina lako la ukoo liko wapi? msumali wa moto ndio umeshaingia huo labda utafute maji ya baridi uupozeee....!
 
Tena kwa uhuru mkubwa sana.
Chadema itashinda tu kwa kuwa misingi ya Taifa hili imeonyesha kuwa wanaoweza kuisimamia ni chadema na si vinginevyo.unaponunua wanachama ,unaandaa midahalo ya kununua wasemaji,bila shaka inaonesha ccm imefika ukingoni mwa mto,kuuvuka mto inahitaji muujiza angalieni akili za Lukuvi na Nchemba( these are future ccm geneous rotten talents that never immitated)
 
Hongera sana jembe la ukweli SANGALALI SHIJA MASANJA kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Jimbo la UBUNGO
 
Waislam hawana Akili au hawajagombea au awatakiwi CDM.

Mheshimiwa mwigulu ameshasema mambo yakubalance kila kitu ndo kinalitafuna taifa kwa sasa. Si lazima kuongozwa na waislamu kila mahala. Yaani ni kama mahala fulani kwenye taasisi ya umma watu wamajiriwa vyeti wakiwa hawana na wengine hata shule hajamaliza anapewa majukumu makubwa kisa mwislamu. Acha ujinga wakuuliza kila kitu mwislamu yuko wapi
 
Back
Top Bottom