hawa jamaa wababaishaji sana kama azam tv, sijui hz station tv za nchi zina matatizo gani! Mara utasikia burudani kwa wote lakini ukifuatilia hakuna cha maana ambacho utakiona. Kwa ujumla hizi station tv za nchi hii zote zina matatizo si tbc, star tv, chanel ten, azam tv wala itv
Wanaoangalia tbc wote haziwatoshi
Ndugu wana JF,
Nimekuwa nikifatilia matangazo ya TBC na ninaona kwamba haina sifa hata kidogo ya kuitwa TV ya Taifa. Sababu ya kusema hivyo ni kwa sababu TBC inaelemea upande mmoja sana; wa chama Tawala. Kwa mfano, katika huu mchakato wa Katiba, TBC inajitahidi kupigia debe msimamo mmoja wa chama Tawala.
TBC wasingetakiwa kuwa biased; wanatakiwa kuwakilisha pande zote bila upendeleo wa vyama au itikadi binafsi. In summary, TBC sio TV ya Taifa, ila ni TV ya Chama.
Inakera!!

Naunga hoja TBC huwa hawa balance story hususani za Siasa, pale ambapo Chama Twawala kinahusika!
Wanaoangalia tbc wote haziwatoshi
tufike sehemu wana jf tuache ujinga. Kila mtu akitaka apate comments nyingi anaandika
tbc??? Huu ni ujinga na kushindwa kusoma nyakati. Elimu zetu ziwe msaada kwetu na sio
mzigo. Uliyeleta hii post nina mashaka na elimu yako na upeo wa kupambanua mambo.
Nenda shule.