Recent content by migors

 1. migors

  Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

  Tukipata point 3 tu katika gem zijazo tutakuwa na uhakika 100% wa kubaki top 4, kumbuka gem ya mwisho wanakutana Man u vs Leister city
 2. migors

  Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

  Mtoe Arsenal. Anawania big 4 iiip??
 3. migors

  Msaada kuhusu tofauti hii ya namba za pikipiki

  Asante Sent using Jamii Forums mobile app
 4. migors

  Msaada kuhusu tofauti hii ya namba za pikipiki

  Habari za weekend wana JF Nilikuwa nahitaji pikipiki iliyotumika mwezi uliopita, nikamuagiza jamaa yangu anitafutie maana yeye yupo DSM na mm nipo mkoan. Akanitaarifu Kuwa amepata na akaniambia bei nikamtumia akamalizana na tajiri( mwenye pikipiki). Ikabidi aniagizie kweli nikaipata na iko...
 5. migors

  Top 10 ya treni zenye mwendokasi zaidi duniani

  Hiyo namba tatu sijaielewa 358.4km/hr then inasafiri 397 tena kwa 1hr??! Sent using Jamii Forums mobile app
 6. migors

  Panasonic home theater system

  Kwan umeambiwa inauzwaa!?
 7. migors

  SIMULIZI; Mkufu wa malkia wa Goshen

  Shunie sio poa unavyo tufanyia... Njoo bas
 8. migors

  SIMULIZI; Mkufu wa malkia wa Goshen

  Shunie vp leo
 9. migors

  Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

  Kikosi kiko vizur, bakayoko na cahil nje
 10. migors

  Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

  4 tayar labda kama kuna mtabir mwingine
 11. migors

  Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

  Naomba kuuliza hivi ilala mwisho lini kutuma maombi.. Na usaili ni lin?
 12. migors

  Naombeni mnijuze jinsi ya ku-certify vyeti vyangu

  Ahsante mkuu ila ninhitaji kwaajili ya kuattach kwenye portal ya ajira sasa sijajua inakuwaje naomba unieleweshe Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom