Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

TANGAZO TANGAZO TANGAZO KUNA NAFASI ZA KAZI KUMFUNDISHA BABU SEYA NA PAPII KOCHA KUTUMIA SMARTPHONE, KUCHATI KUTUMIA WHATSAPP, FACEBOOK, TWITTER, NK. TUWASILIANE KWA NAMBA 0681276543 KWA MAELEKEZO ZAIDI.
 
b15570781ed311944a7485edab77cb2f.jpg
 
Jaman wadada muwe mnajiita majina sawa na mlivyo sio unajiita

baby cute, pretty girl, tantalising eyes,sijui delicious nini

watu wanatumia nguvu nyingi kuwatongoza halafu siku mnakutana unakuta umekaa kama JAHAZI LILILOBEBA KAMBALE hueleweki wapi juu wapi chini...

INAKUA SIO FRESH! mnayumba eeee
 
``AINA ZA USHUZI''


01. Sillent Ninja Killer- Hutoka kwa force kubwa halafu kimya kimya. Harufu yake ni kali sana. Ni nzuri kutumia uwapo katikati ya watu wengi.


02. Diarrheal Thunder- Hutokea mara nyingi unapojiskia kunya halafu ukabana kwa muda mrefu. Pale unapoenda sasa kupupu hutokea ngurumo kama za radi kabla ya kinyesi kushuka.


03. False Alarm- Huja kama vile mavi ila ukienda chooni ndo unajua kuwa ni ushuzi tu.
04. Releasing The Valve (Tester) - Hutokea pale unaposikia msukumo wa hewa tumboni ukiwa katikati ya watu wengi. Ili wasistuke unaachia kidogo kidogo mpaka umalize.


05. Suddenly Fart- Unapocheka sana, kupiga chafya, kukohoa kwa nguvu, kushtuliwa au kubeba kitu kizito unajikuta umekaachia. Uzuri wake hainuki sana.


06. The classic- Huwa na mlio mkubwa halafu ndo ushuzi mkubwa kuliko wote. Ukiwa umekaa na watu ukaachia ukinyanyuka lazima wakuangali nyuma kama hujapasua nguo.
 
MWANAUME MWENZANGU HUWEZI KUAMBIWA HATA SIKU MOJA KWAMBA WEWE NI MZURI AU HANDSOME KAMA HAWA DADA ZETU...

MPAKA PALE UTAKAPOIBA KUKU WA JIRANI AU UFANYE TUKIO LOLOTE BAYA NDO UTASIKIA "KIJANA HANDSOME KAMA WEWE NDO UMEFANYA HAYA, SIAMINI"
 
Hawa mademu sijui wakoje? Mwingine jana usiku mwingine kanipigia simu:
Demu: Mambo honey
Me: Poa
Dem: Unanipenda kweli?
Me: Ndiyo.
Demu: Lini utaninunulia apple 8
Me: Hata 10 leo ukitaka nitakununulia huku kwetu singida ndio wakulima.
Demu: Sio [HASHTAG]#matunda[/HASHTAG] dear ni simu ya apple.
Me: (nikiwa nimebana sauti) kuufanya wimbo huu uwe muito katika simu yako kwa shilingi 10 tu kwa siku bonyeza moja, asante kwa kuchagua vodacom
 
Back
Top Bottom