Msaada kuhusu tofauti hii ya namba za pikipiki

migors

Member
Oct 1, 2015
46
125
Habari za weekend wana JF

Nilikuwa nahitaji pikipiki iliyotumika mwezi uliopita, nikamuagiza jamaa yangu anitafutie maana yeye yupo DSM na mm nipo mkoan. Akanitaarifu Kuwa amepata na akaniambia bei nikamtumia akamalizana na tajiri( mwenye pikipiki). Ikabidi aniagizie kweli nikaipata na iko vizuri.

Shida ipo hapa, Namba ya usajili yaan plet namba ipo sawa na kwenye kadi, tatizo namba ya engine na chassis zimetofautiana na za kwenye kadi. Nimewasiliana na jamaa niliye muagiza anasema alinunua kwa mmiliki halali wa pikipiki.
Naomba mnisaidie kwa mnaofaham haya mambo. Je inaweza kutokea kadi ikatofautiana na chombo na kama inaweza tofautiana nifuate hatua gan ili nibadilishe. Kama haiwezekan nifanyeje. Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom