Recent content by middle east

  1. middle east

    Toyota Premio Vs Mitsubishi Outlander

    Habari za majukumu, Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo. Kwa mtu anayetaka kununua gari yake ya kwanza hasa kijana mwenye kipato cha kawaida kati ya Toyota Premio X old model na Mitsubishi Outlander second generation unamshauri gari gani ya kuanza nayo. Nafahamu ni gari mbili zenye body...
  2. middle east

    TAASISI ZA UMMA ZENYE MASLAHI

    Habari za wakuu, Naomba niende kwenye mada moja kwa moja tunafahamu kwamba taasisi hizi zipo vizuri kwenye maslahi je ni wapi kuna maslahi zaidi ikiwa mtumishi anataka kuhamia huko. TBS, NSSF, TMDA, EWURA, MSD, WCF, TPDC, TIRA Maslahi zaidi ya posho na safari kidogo. Naomba msinishambulie kwa...
  3. middle east

    Ipi mbinu ya kukabiliana na mfanyakazi mwenzio mkorofi?

    Kama upo level ya chini kabisa(junior) inabidi uishi kinafki ...usiwe na adui usiwe na makundi wewe...
  4. middle east

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kuna dogo alikuwa anapiga tempo/contract kama sales NMB wale wanaofungua account za nmb chapchap ila akala shavu hapo hapo NMB permanent kama bank officer bukoba huko ana miezi mitatu sasa ila jina lake limetokea kwenye pdf kama mchumi wizara ya mifugo na uvuvi...mpeni ushauri dogo
  5. middle east

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    nenda huko NGOs mkuu huwezi kuchagua halmashauri 700k ukaacha kuchagua NGOs tena umesema mwenyewe ipo chini ya USAID. Mkataba ukiisha utakuwa umejiongeza tayari kufanya uwekezaji mdogo nje ya ajira yako. Faida ya pili kufanya kazi kwenye international NGOs ni faida na unakuwa umejifungulia...
  6. middle east

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ni kweli aiseh hata kama umeona wanataka mtu mmoja kwenye tangazo la kazi la utumishi we apply jiandae vizuri upambane ufike oral/database Nina washkaji watatu wamepata TPDC asali kubwa na hawakuwa na connection kabisa Yani ni choka mbaya mmoja anapost tu status leo yupo Arusha kesho tanga mara...
  7. middle east

    Dar: Wanawake wa Kinyerezi wazindua jukwaa lenye lengo la kumuinua Mwanamke kiuchumi

    Mtoto wa kiume ana kazi sana naona anasahaurika sana. Kampeni zimekuwa ni nyingi sana za kufanya empowerment ya mtoto wa kike mwisho wa siku fursa zote wanapewa wao kwa kigezo cha haki sawa ila mwisho wa siku bado wanataka mtoto wa kiume awe provider.
  8. middle east

    Msaada: Viungo vya mwili wangu vinauma

    Nenda hospitali ukafanyiwe medical check up na daktari na ndiye atapendekeza dawa
  9. middle east

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Huyu auditor maybe kaipiga chini hii nafasi ...maybe alitegemea anaweza pangiwa MDA. Rafiki yangu mmoja ilimtokea hii yeye ni accountant na CPA juu ila alipangiwa account officer halmashauri moja ya pwani na akaipiga chini. Wote tunaomba hizi kazi ila malengo yanatofautiana wengine wakipangiwa...
  10. middle east

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wakuu habari poleni na majukumu, nataka kufahamu kwanini watu wengi hawapendi kufanya kazi halmashauri na yupo radhi akafanye wizarani wakati kote huko salary scale ni moja ambayo ni TGS. Mfano mchumi wa halmashauri anayeanza kazi ataanza na TGSD1 na mchumi wa wizarani naye atakuwa na hiyo hiyo...
  11. middle east

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongereni sana mliopata asali. Ila nina swali kidogo mtumishi wa wizarani na halmashauri posho zinafanana??
  12. middle east

    Ushauri wa bure kwa waajiriwa wote

    Good thread
  13. middle east

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Makofia nakuita mara tatu Mungu saidia nilambe asali maana tayari naona kimeshanuka... TRA hao tayari wameanza bado wengine wanakuja Kuna Bi mkubwa mmoja ni mkubwa TRA makao makuu pale mwanaye tunacheza naye sana boli na mido mzuri sana na anakichafua dimbani hatari, alimaliza kitambo ifm...
  14. middle east

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wamekuzuia usiingie kwenye mtihani??
Back
Top Bottom