HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwa Reasearch yangu niliyoifanya nimegundua PSRS wanatumia Database kuajiri Incase ikatokea umebahatika kufika ORAL Mtangulize Mungu na ujibu vzuri maswali ukipata 50% umepass usivunjike moyo na idadi ya nafasi unayogombania kwa muda huo inaeza kuwa n nafasi 1 au 2 lakini mmeitwa watu 8,, ni mmoja wa watu nilionufaika na icho baada ya kufanya interview iliyokua ikihitaji watu 2 tukaitwa Oral watu 8 ..Tulikua na group letu la Whatsapp mpaka sasa watu wote 8 kwa awamu tatu tumeshpata Asali.

USHAURI WANGU KWENU AMBAO BADO MNAENDELEA KUISAKA ASALI
1. Apply Interview Zote zinazokuhusu regardless ya idadi ya watu wanaohitaji kwa mda huo isikukatishe tamaa focus kuingia database
2. Usikatishwe tamaa na mtu yeyote kuwa PSRS kuna connection au upendeleo juhudi zako binafsi zitakufanya upate asali, wako fair nime observe icho kitu
3. Fanya maandlzi vizuri consult watu waliokwisha fanya saili za kada yako husika upate past Paper maswali baadhi yanajirudia ili upate framework ya maswal na wap paku cement moore.

Nawatakia kila la kheri katika mapambano yakuisaka asali ,Natumai Mungu atawaona kila mtu kwa wakati wake kikubwa usikate tamaa ata iweje,,Tupo pamoja [emoji123][emoji123][emoji123]

All the Best Champs [emoji120]
Ni kweli aiseh hata kama umeona wanataka mtu mmoja kwenye tangazo la kazi la utumishi we apply jiandae vizuri upambane ufike oral/database

Nina washkaji watatu wamepata TPDC asali kubwa na hawakuwa na connection kabisa Yani ni choka mbaya mmoja anapost tu status leo yupo Arusha kesho tanga mara Morogoro safari kama zote.

Namwambiaga shukuru utumishi maana taasisi wangepewa mandate ya kuajiri wao sijui kama ungetoboa
 
Na mfano mtu kapata placement ya halmashauri,amesharipot tyr kazin,kapangiwa majukumu na mshahara kaanza kupata tayari,Mara ghafla multiple placement inatokea kapangiwa kwenye li taasisi zuri la asali wa nyuki wadogo (TANROAD),Sasa hapa atafanyaje?inawezekana kuacha halmashauri akaenda kwenye hiyo taasisi?
Mkono mtupu haulambwi. Andika barua kwa katibu mkuu utumishi kupitia kwa mkurugenzi ambatanisha na copy ya Placement mpya usiweke kwenye file nenda moja kwa moja kwa HR wako tanguliza asali halafu MPE barua yako. Akisaini tu ibebe kimbia nayo Dodoma chap kwa katibu mkuu. Huku napo ukicheza inaweza kukaa miezi 6-8
 
Kuna kada X mwezi wa tano walifanya interview dodoma MDA$LGA walikuwa wanahitaji watu 6 nachojiuliza kwenye oral waliingia watu 86 ilhali interview ya Taasisi X waliitaji watu 25 oral wakapita 75.

Je kuna muda utumishi hawatumii ratio yao walijipangia ?
Kwa mtazamo wangu ratio inafuatwa sema kinachofanya ongezeko ni kulingana kwa maksi, mf. Max ya mwisho 60 unakuta wenye hiyo 60 wako zaidi ya 20
 
Mmeamkaje wazee wa "HOW"?
Vipi wazee wenzangu wa "MENTION" na NYINYI? Mpo GOOD?
Kila lenye HERI kwenu...Mungu atawajalia...mtatoboa tu wana, humu pazuri, tunapush sana PSRS...BRAVO wanaaaaaa...
Kabisaaaa tutamention mpaka wakubali kutupe kaziii.
Ukielezea sana kingereza badala ya kutaja point kavu unasema the first point is..... the second point is..... 😂😂😂
 
Mwenye connection ya kazi za weighbridge, TANROADS Mkoa wowote. Naomba unicheki Pm tafadhari, Ahsante ya connection ipo.
Taasisi wanasema ZIPO FAIR, Ngoja waje wenye TAASISI ZAO wakupe Mbinu, sisi wengine wazee wa kuMENTION tu.
Huko TANROADS wana KIBAO washatupa NAULI, huko hakuna STATUS wala nini, Bora PSRS Kuna APP vs WEB
 
Back
Top Bottom