HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mimi pia leo nimepata kuchomoka kwenye pdf la utumishi Mungu amekuwa mwema sana baada ya miaka 7 ya kuhangaika na vibarua vya hapa na pale. Tusife moyo kwa ambao bado hatujapata tuendelee kusubiri kwa imani
Hongera sana ndugu,nami siku moja nitatoa ushuhuda wa kupata placement hapa jukwaan,niwapongeze wote mlolamba asali n ambao bado tuzid kumwomba Mungu tulambe asali nasi tuje kupewq hongera hapa
 
Mimi pia leo nimepata kuchomoka kwenye pdf la utumishi Mungu amekuwa mwema sana baada ya miaka 7 ya kuhangaika na vibarua vya hapa na pale. Tusife moyo kwa ambao bado hatujapata tuendelee kusubiri kwa imani

Hongera sana madam The firstone ,

Wakati wa Mungu ni wakati sahihi kabisa, Kumbuka kutoa Shukurani kwa mafanikio hayo.

Mwisho, nakutakia utendaji wenye weledi katka majukumu yako.
 
Hongereni sana mliopata asali. Ila nina swali kidogo mtumishi wa wizarani na halmashauri posho zinafanana??
Viwango vya posho ni vile vile ila mtazidiana kwa kuzipata hizo posho.

Ukiwa na shughuli nyingi za kukufanya upate posho hauwezi kulingana na ambaye hana shughuli nyingi za kumfanya apage posho.

Mtu wa Wizara anaweza akawa na safari za hapa na pale, hapo anapata posho ukilinganisha na yule ambaye hana visafari.
 
Back
Top Bottom