kitanywe 1
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 220
- 444
Shukrani mkuu niaba wajipe muda ....... maelekezo ilikuwa tarehe 1 mwez huuu dogo Ali submit barua waliombwa waandikwe pamoja na barua ya madai ya mshahara wali mchelewesheaWaandike barua rasmi kwa mkurugenzi wa halmashauri, kupitia kwa mkuu wa Idara ya kukumbushia kuhusu madai yao!! Usitumie muda mwingi kuulizia kwa maafisa utumishi kwa mdomo!!. Ila Barua isiwe ya kulalamika na kushutumu (hata kama unastahili kulalamika, makazini kuna hekima yake) bali kukumbushia. Halafu unatulia, ukiona kimya baada ya muda unaandika tena!! Wakati mwingine wakurugenzi huwa walishaidhinisha malipo, lakini watu wa kati kama maafisa utumishi na wahasibu huamua kusubirisha malipo wakiwa na mategemeo kuwa wahusika watawafuata wakiwa na kitu kidogo!!
Aliyeelewa naomba anieleweshe majibu ya PSRS
Dah asee hapa Pana ukakasi mkubwa sana, jobless uvumilivu na kutokukata tamaa ndo silaha yetu.Aliyeelewa naomba anieleweshe majibu ya PSRS View attachment 2743255
Ukiona wanajibu hivo ujue wanakaribia kuachia vitu huko.Aliyeelewa naomba anieleweshe majibu ya PSRS View attachment 2743255
Wewe endelea kunyonya kwa bibiWewe endelea kunyonya kwa Mama
Majibu ya kisiasa hayaAliyeelewa naomba anieleweshe majibu ya PSRS View attachment 2743255
Mbwembwe nyingi mtandaoni bado unaishi kwa Mama? hama NCHIWewe endelea kunyonya kwa bibi
Mnatuharibia uzi mambo za michambo humu za nini...mnazinguaMbwembwe nyingi mtandaoni bado unaishi kwa Mama? hama NCHI
Mwambie atulie huyo mtoto wa MamaMnatuharibia uzi mambo za michambo humu za nini...mnazingua
Tumia akili kabla ya kuandika comment .Wewe endelea kunyonya kwa Mama
Awahi haraka Mchumi hatojutaKuna dogo alikuwa anapiga tempo/contract kama sales NMB wale wanaofungua account za nmb chapchap ila akala shavu hapo hapo NMB permanent kama bank officer bukoba huko ana miezi mitatu sasa ila jina lake limetokea kwenye pdf kama mchumi wizara ya mifugo na uvuvi...mpeni ushauri dogo
NMB mbona kama ni government iyo?Kuna dogo alikuwa anapiga tempo/contract kama sales NMB wale wanaofungua account za nmb chapchap ila akala shavu hapo hapo NMB permanent kama bank officer bukoba huko ana miezi mitatu sasa ila jina lake limetokea kwenye pdf kama mchumi wizara ya mifugo na uvuvi...mpeni ushauri dogo
Mbwembwe nyingi mtandaoni bado unaishi kwa Mama? Hama NCHITumia akili kabla ya kuandika comment .
Awahi chap wizarani aisee,Kuna dogo alikuwa anapiga tempo/contract kama sales NMB wale wanaofungua account za nmb chapchap ila akala shavu hapo hapo NMB permanent kama bank officer bukoba huko ana miezi mitatu sasa ila jina lake limetokea kwenye pdf kama mchumi wizara ya mifugo na uvuvi...mpeni ushauri dogo