HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
TPA hawana salary scale kubwa mkuu kawaida sana sema ujanja ujanja mwingi
Hehehehehe...chukua Operator katika saa 8 amefanya lift On&off 100 akapata 2,000/- kwa kila Box toka Kwa madereva...chukua 2,000/- x 100= 200,000/- kila SIKU...
Hiyo hela siyo lazima utoe ila itakupasa ufanye hivyo ili ufanyiwe chaap usepe...
Hao Ndo wazee wa BANDARI .
 
Wakuu habari poleni na majukumu, nataka kufahamu kwanini watu wengi hawapendi kufanya kazi halmashauri na yupo radhi akafanye wizarani wakati kote huko salary scale ni moja ambayo ni TGS. Mfano mchumi wa halmashauri anayeanza kazi ataanza na TGSD1 na mchumi wa wizarani naye atakuwa na hiyo hiyo TGSD1.

Sasa kwanini mtu anataka wizarani kuliko halmashauri wakati salary scale ni moja ??

Cc: @mwifa
 
Posho na Safari
 
Back
Top Bottom