HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mkuu nimepelekwa halmashaur
Dah Yan ndio kwanza nimepokea mshahara wa kwanza huku NGO
Yani nitoke kwenye zaid ya 2 million kwa mwez nirudi mshahara wa laki 7 sijui ni 8 per month. Nipo dilemma borea psrs wangeniwah before sijapata hii last month
Inategemea uko kwenye NGO ipi na inafadhiliwa na nani!! Kama ni hizi NGO zinazofadhiliwa na nchi za magharibi, hasa Marekani, hao malengo yao ni kueneza LGBT mentality kupitia NGO!! Wakikuona huna mwelekeo wa kutoa "ushirikiano" kwenye kueneza hiyo kitu wanakupiga chini. Kama ni hivyo nenda huko halmashjauri!!

Lakini kama uko kwenye NGO ambayo haitegemei ufadhili wa nchi za magharibi, na umri wako ni chini ya miaka 30, baki huko huko lakini kwa MALENGO! Amua kuishi kama mtumwa kipindi chote cha mkataba ili uje uishi kama mfalme baada ya mkataba kuisha. Ninamaanisha save pesa!! jiwekee akiba!! usione shida kuamua kuishi kwa 300,000/= tu kwa mwezi na pesa yote nyingine weka akiba. Usiwe na tamaa ya kuwekeza kwa sasa!! kwa sasa tengeneza mtaji mkubwa!! Kwa maana hiyo utaweza ku-save si chini ya 2,000,000/= kwa mwezi! Kwa miaka mitatu utakuwa na akiba ya zaidi ya sh. 70,000,000/=. Kwa kiasi hicho cha mtaji utaweza kuwekeza kwenye biashara unayoipenda na kuimudu vizuri. Tangu sasa anza kufanya utafiti ni biashara ipi unaweza kufanya baada ya huo muda!!

Lakini kama umri wako umekaribia 45, nakushauri uende huko halmashauri!! Vijana wadogo ndio wenye uwezo wa ku-risk huko kwenye private sector!!
 
Mzee una uhakika kijana anaweza kusave asilimia 80 ya mshahara wake kwa karne hii tena wa NGO [emoji1].

Ku-save money kunavutia matatizo na mahitaji invest money / buy assets.
 
Habari za wakati wana uzi kiukweli Mungu amenitendea nilofanya oral mwezi wa pili, lakin hatimae nimaelamba asali wizara ya maji
Both selected for all web and app. From database
Naamini wote mungu atatundea
Hongera champ,sis tulipiga oral ya TRA January nazan ndo imetoka hvo coz mpaka kukata tamaa mtu ushakata...Yan kila pdf mtu unachungulia lakin wapi huoni jina dah inaumiza sana,niwape hongera wote mlolamba asali washkaj
 
Inategemea uko kwenye NGO ipi na inafadhiliwa na nani!! Kama ni hizi NGO zinazofadhiliwa na nchi za magharibi, hasa Marekani, hao malengo yao ni kueneza LGBT mentality kupitia NGO!! Wakikuona huna mwelekeo wa kutoa "ushirikiano" kwenye kueneza hiyo kitu wanakupiga chini. Kama ni hivyo nenda huko halmashjauri!!

Lakini kama uko kwenye NGO ambayo haitegemei ufadhili wa nchi za magharibi, na umri wako ni chini ya miaka 30, baki huko huko lakini kwa MALENGO! Amua kuishi kama mtumwa kipindi chote cha mkataba ili uje uishi kama mfalme baada ya mkataba kuisha. Ninamaanisha save pesa!! jiwekee akiba!! usione shida kuamua kuishi kwa 300,000/= tu kwa mwezi na pesa yote nyingine weka akiba. Usiwe na tamaa ya kuwekeza kwa sasa!! kwa sasa tengeneza mtaji mkubwa!! Kwa maana hiyo utaweza ku-save si chini ya 2,000,000/= kwa mwezi! Kwa miaka mitatu utakuwa na akiba ya zaidi ya sh. 70,000,000/=. Kwa kiasi hicho cha mtaji utaweza kuwekeza kwenye biashara unayoipenda na kuimudu vizuri. Tangu sasa anza kufanya utafiti ni biashara ipi unaweza kufanya baada ya huo muda!!

Lakini kama umri wako umekaribia 45, nakushauri uende huko halmashauri!! Vijana wadogo ndio wenye uwezo wa ku-risk huko kwenye private sector!!
Mkuu NGO hii ipo chini ya UN ni ya zamani sana. Umri wangu chin ya 30 lakin nahofia miaka ijayo kupata kazi utumishi wa umma unazid kuwa mgumu watu wengi mno
Nyumbani wananishaur niingie serikalin huku nikiangalia hapa kwenye NGO nikipambana mwaka 1 Tu nitaweza kununua hata kaplot Kang ndio hapo nachoka .
 
Hongera Mkuu.
Ila kiukweli Halmashauri kipengele na hio 700k ni basic. Kama ulisomeshwa na Heslb unaweza lamba 400k kwa mwezi bila allowance yoyote.

Huo mshahara wa NGO utakaopata tu Kwa miaka 3 tu.

Kwa take home ya Halmashauri utaupata baada ya miaka 20.

Assume other stuffs remain constant.
Asant mkuu Yan nikifikiria nachoka
 
Mzee una uhakika kijana anaweza kusave asilimia 80 ya mshahara wake kwa karne hii tena wa NGO [emoji1].

Ku-save money kunavutia matatizo na mahitaji invest money / buy assets.
Inawezekana kabisa kama akiamua kuishi kama mtumwa sasa ili aje aishi kama mfalme baadaye!! Ndiyo maana hii option wanaiweza vijana wanaojielewa na wana miaka chini ya 30. Anaamua kutokuoa kwa kipindi hicho cha miaka 3, anapanga chumba kimoja cha kawaida (30,000/= - 50,000/=) lakini katika mazingira salama!! Anazingatia kutunza afya yake na asijioneshe kuwa ana pesa!! Kipato chake kiwe ni siri yake!! Aachane kabisa na ku-date!! Aheshimu viongozi kazini kwake, hata akinyanyaswa akubali kuvumilia kwa malengo! hapo lazima atatoboa!!

Lakini kama akiamua kuishi kama mfalme sasa, hizo 2M+ bado ni pesa ndogo sana!! Haiwezi kutoboa mwezi mtu akiamua kujirusha nayo!! Mwisho wa siku mkataba unakata ukiwa huna hata 1M akiba!!
 
Asante
Sikia we jamaa kama UNAJIAMINI NA UNAUWEZO KWELIKWELI baki hapo NGO lakini pia cheki histori ya wafanyakazi wa hapo kama Hiyo NGO ina muda mrefu, Je wanakaa na wafanyakazi kwa muda mrefu? Ikiwe ndio komaa nao huku ukiwa na plan makini za saving na uwekezaji mzuri acha bata za ajabu. Wakati huo unaendelea kufuatilia kazi za serikali usizozipenda ukibahatika ukapata unaacha huko NGO unaingia serikali.

LAKINI kama ulishikwa mkono ndo ukaingia hapo, haujiamini na hiyo NGO inatabia ya kubadili au kufukuza wafanyakazi ovyo AYSEEEEEE achana nayo. Nenda kachukue barua DOM. Kiujumla fanya maamuzi ya kitaalamu.

Maana 2024 unaweza rudi humu kusukuma huu uzi kama JOBLESS ULIYEBOBEA na unavyojua kuwafokea PSRS 😃 watakukoma.

Na ukikuta PSRS Ndo basi tena baba jane bye bye👋
Sawa mkuu
 
Mkuu NGO hii ipo chini ya UN ni ya zamani sana. Umri wangu chin ya 30 lakin nahofia miaka ijayo kupata kazi utumishi wa umma unazid kuwa mgumu watu wengi mno
Nyumbani wananishaur niingie serikalin huku nikiangalia hapa kwenye NGO nikipambana mwaka 1 Tu nitaweza kununua hata kaplot Kang ndio hapo nachoka .
Kama ni hivyo, baki kwenye NGO lakini kama una ubavu wa kuishi kama mtumwa kwa sasa ili uje uishi kama mfalme baadaye!. Waeleweshe kwa mahesabu ndugu zako na watakuelewa tu!! Najua huo ni mtihani mkubwa sana kwako!! mihemko inakutaka uwe kwenye standard moja na wafanyakazi wenzako!! Vijana wenzako wanapark magari kazini, wamepanga majumba ya kueleweka wakilipa zaidi ya laki tano kwa mwezi, kila week end wanajirusha kwenye hotel za bei mbaya!, vikao vya arusi wanachangia mamillioni!! Lakini kwa upande wako jitahidi standard ya mavazi tu ili mwonekano wako kazini usiwe wa kimaskini!! Lakini maisha yako baada ya kazi iwe siri yako!!
 
Mkuu dav- said: Very seriously miaka mitatu ni michache sana na itapita kama upepo!! waulize wabunge wakuambie jinsi miaka mitano ilivyo michache, sembuse miaka mitatu!! Kama nidhamu ya kuishi kitumwa kwa malengo huna, nenda kachukue barua yako fasta uende huko halmashauri!! Vinginevyo utakuja kujilaumu sana!! Lakini kama unajiamini kuwa na uwezo wa kuishi kitumwa (kama wakinga, tatizo wao wanaishi kitumwa hadi kifo) kwa malengo, BAKI HAPO HAPO!!
 
Aisee najiona nimebaki peke angu ehe mungu nikumbuke.

Kaka hauko peke yako. Mimi nimeelezea mara nyingi sana kuhusu mdogo wangu humu, kwa sasa namuona anaelekea kuchanganyikiwa na stress za kukosa kazi.

Nimekuwa positive kumpa moyo lakini kuna muda huwa ananijibu kwa hoja ambazo nakosa namna ya kumpinga kwa sababu ni nzito.

Amejaribu vitu vingi sana vya kujitegemea lakini vinafeli. Kibaya zaidi amesomea kozi ambayo ajira zake zinatangazwa mara moja moja sana. Kwa hiyo akipishana nayo mara moja au mbili kwa mwaka ndio imetoka hiyo mpaka mwaka mmoja au miwili mbeleni.

Ndugu zangu kwa tuliopata sehemu za kuendesha maisha hata kama hazina maslahi makubwa tusizidharau. Kuna watu ujobless umekuwa kama ni jela kwao, wanateseka na hawajui watatoka lini.
 
Mkuu nimepelekwa halmashaur
Dah Yan ndio kwanza nimepokea mshahara wa kwanza huku NGO
Yani nitoke kwenye zaid ya 2 million kwa mwez nirudi mshahara wa laki 7 sijui ni 8 per month. Nipo dilemma borea psrs wangeniwah before sijapata hii last month
nenda huko NGOs mkuu huwezi kuchagua halmashauri 700k ukaacha kuchagua NGOs tena umesema mwenyewe ipo chini ya USAID. Mkataba ukiisha utakuwa umejiongeza tayari kufanya uwekezaji mdogo nje ya ajira yako.

Faida ya pili kufanya kazi kwenye international NGOs ni faida na unakuwa umejifungulia milango ya kupata kazi kwenye taasisi za kimataifa za miradi.

Mwisho wa siku hata upate kazi world bank au UN bado lazima uwe na side hussle tu so my point mshahara hautoshi uwe local government au uwe UN ...side hussle haikwepeki

Mkuu nenda NGOs kama kweli ipo chini ya USAID kama ulivyosema maana ukijipangilia vizuri unafanya maendeleo kwa mda mfupi ukifanya kazi kwenye taasisi za wazungu kuna welfare kubwa sana posho za safari kama zote alafu sio za kichovu.
 
U
Wakuu na mm namshukuru Mungu nimelamba asali PDF ya Jana.
Status ni selected for oral both app na website kwa taasis zote 3 nilizofanya usahili
Interview nilifanya 10 mwaka Jana mbili nilitoboa oral ya mwezi wa 9 na 12. Mwaka huu pia February nilitoboa oral zile za LGA & MDA.
Hivyo sijajua if ni database au ni interview ipi imenipa kazi.

Nadhani mnakumbuka nilivyokua huku nikilalamika na kukata tamaa. Yani toka Jana na stress sijui nafanyeje
Kwani mwezi uliopita nilipata kazi kwenye NGO nikasaini contract ya 3 years.
Hapa nawaza niache NGO au nibaki
Sababu ukilinganisha huku NGO kutamu Yani salary per month ni Dola 1100 bado Kuna allowance kibao

Yani wakuu nimevurugwa. Sikutegemea kama placement itanipa stress hv
Una profession ipi mkuu kaka
 
Back
Top Bottom