Recent content by Mhindih

  1. Mhindih

    JamiiForums Tanzania Boss wangu ananitaka kimapenzi la sivyo anifukuze kazi

    Age is just a number
  2. Mhindih

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi, biashara gani inalipa kutoka Tanzania kwenda Malawi na Zambia?

    Ni sawa lkn tambua mtaji wako ni mdogo Sana.. Biashara za kuvuka border ni ngumu. 6 m hiyo ni ushuru tu na tozo mbalimbali. Vinginevyo ongeza mtaji walau 20 m kisha jilipue. Thanks in advance
  3. Mhindih

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi, biashara gani inalipa kutoka Tanzania kwenda Malawi na Zambia?

    Nakushauri vumilia changamoto za kazi na endelea na kazi usiache. Huo mtaji ulionao chukua frem karibu anzisha biashara inayolipa kitaani kwako. Iko siku kazi na biashara yako vitakulipa pakubwa.
  4. Mhindih

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina degree ya manunuzi na ugavi

    Kwamba watu wa dodoma hawawezi kufanya kazi au?
  5. Mhindih

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Daaah sijui nimechelewa.. Nahisi kushawishika hivi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mhindih

    JamiiForums Tanzania Simtank for sale

    Nimechukulia au bado? Unapatikana wa? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mhindih

    JamiiForums Tanzania Kama una tatizo la kukosa furaha, hofu na maumivu kwenye moyo pitia hapa

    Baba hiyo ni choya mambo ya rosella utawachanganya wengi sie wa bushi ni kama Chai. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mhindih

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili jambo limeniumiza sana

    Tatizo tukipta wenza tunadharau wazazi wetu... Either sisi au Hao wenza wetu. Jitathmini wapo ulioikosea muombe radhi mama. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mhindih

    JamiiForums Tanzania Ijue kwa undani nchi ya Brunei ambako Raia hawalipi kodi ni kula bata tu

    Mcheki Nyambui Mtanzania kocha wa timu ya Taifa ya Brunei Sent from my Phantom6-Plus using JamiiForums mobile app
  10. Mhindih

    JamiiForums Tanzania Hii petrol station ni ya Ridhione?

    Kama ni Lake haojakosea
  11. Mhindih

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    (color=red) haya bana (/color)
  12. Mhindih

    JamiiForums Tanzania Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Hongera sana... Nimetamani kukufahamu zaidi sijui kwa nn tu
  13. Mhindih

    JamiiForums Tanzania Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Nimekupenda Bure Clkey
  14. Mhindih

    JamiiForums Tanzania Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Hongera kwa hilo.. Kumbe tuko wengi vipepeo Weusi big up sana
Back
Top Bottom