calabocatz
Senior Member
- Jan 1, 2017
- 110
- 88
Mbona hiyo taarifa mi siioni The bold?
Nenda post # 1 juu kabisa utaiona ina kickwa cha habari chenye rangi nyekunduMbona hiyo taarifa mi siioni The bold?
Habari wakuu,Mbona hiyo taarifa mi siioni The bold?
teh teh teh tehMkuu na sisi Stuff tunalipia (jokes)
Ingawa usawa wa Magu unabana hakuna namna inabidi tukuunge tu mtu wetu na ni unafiq mtoto wa kiume kupenda vya bure kusubiria hapa JF mi nitakuja hukohuko ila kwa ghost number . Ila mkuu wasap situmiagi inabidi niweke tu kwa kuwa ni mchizi wangu(Ushauri wanawake wawe wengi kuliko wanaume maana si wengine ndio ulemavu wetu huo)
Ngoja nikutafute midaHabari wakuu,
Kuna wazo nalileta kwenu ili tulijadili..
Nimepata maoni ya watu wengi kuhusu namna bora ya kuendelea na hii simulizi ya Vipepeo Weusi: Mkakati namba 0034, pamoja na aina za thread ninazoandikaga Jamii Intelligence na nimekuwa natafakari na kufanyia kazi maoni hayo kwa muda sasa na baada ya kutafakari kwa kina nimekuja na wazo hili;
Nimeonelea tuwe na "premium convo" huko PM hapa hapa JF kwa wale ambao wako tayari au tuwe na group ya whatsapp exclusively kwa ajili simulizi hii pamoja na simulizi nyingine ambazo nina mpango wa kuziweka.
Now, how is this going to work??
Katika hiyo convo/whats group nimelenga niwe naweka 4 episodes kila wiki za simulizi hii ya vipepeo weusi na kila weekend nitakuwa naweka Makala maalumu kama zile za kina D.B Cooper au Geranimo ambazo huwa naziweka Jamii Inteligence..
But.. Katika hii convo/whatsapp group kutakuwa na "subscription fee" kwa kila mwezi, na napendekeza iwe Tsh. 5,000/- kwa mwezi.
Lengo ni nini?
Lengo langu kuu kutaka kuweka utaratibu huu ni kama ifuatavyo;
1. Nadhani si dhambi The Bold walau akiwa na kijihela cha kununua juice atulize koo wakati anaandika hizi simulizi na makala. LOL
2. Kwa utaratibu huu ninaopendekeza nadhani walau simulizi itakuwa inaenda haraka so naamini itaisha haraka, maana kwa utaratibu huu wa sasa ambao tumekuwa tunaenda nao hii simulizi inaweza kuisha May/June.. Ila kwa utaratibu huu mpya nadhani ndani ya miezi miwili itakuwa imeisha.. Ziko simulizi nyingine mbili tamu sana natamani kushea nanyi ila nashindwa kwa kuwa hii bado inaendelea. Simulizi hizo moja inaitwa "La Ultima Letra (Herufi ya mwisho)" na nyingine inaitwa ZEO. Ni hadithi mbili matata sana..
3. Sababu yangu ya mwisho, ni kuweka muelekeo mzuri ili kuweza kujua kama kuna 'base' ya kutosha ili kuanza kutoa vitabu hapo miezi ya baadae mwaka huu.
Sasa, najua kuna maswli nitaulizwa! Na moja wapo ni hili; Je, simulizi hii ya Vipepeo Weusi itaendelea humu na je vipi kuhusu makala za Jamii Intelligence?
Jibu: Thread itaendelea humu ila itasimama kwa wiki moja ya kwanza (kuanzia Jumamosi) na ikirejea baada ya wiki hiyo moja, nitakuwa naweka episode moja kwa wiki.
Kwa lugha nyingine, kule kwenye group tunaweza tukawa tumefika episode 21 but huku kwenye huu uzi ikawa episode 9. Na tutaendelea na utaeatibu huo. Hapa itatolewa episode moja per week!!
Na kuhusu makala za Jamii Intelligence, zitaendelea but nitakuwa naweka makala moja kwa mwezi tofauti na kule kwenye group nitakuwa naweka makala kila weekend (makala za uchambuzi) na simulizi nitakuwa naweka episode 4 kwa wiki.
Mwisho,
Kama kuna mwenye maoni, naomba tujadili but naomba tutumie lugha ya staha.
Na kwa walio tayari, naomba uniPM namba yako au nitumie meseji whatsapp kupitia namba 0718 096 811
Asanteni!
The Bold.
BROTHER kwa hwshima zotee ukipost unitag pleaseJawabu sahihi kabisa! Nashukuru Mkuu..
Tunatuma hela kwanza ndio tunakuja WhatsApp auTafadhali soma pale juu kabisa post # 1 kuna kichwa cha habari chenye rangi nyekundu..
Whatsapp your number to 0718 096 811
Ila hakikisha umesoma hayo maelezo kabla ya kunitumia namba yako ili kusiwe na shida ya kukupatia tena maelezo ambayo nimeshayatoa tayari..
Asante!
HahahahhUsijaki Mkuu! Kama King Kiba tuna hit bila tuzo..
wazo zuri sana tunakufata whatsappHabari wakuu,
Kuna wazo nalileta kwenu ili tulijadili..
Nimepata maoni ya watu wengi kuhusu namna bora ya kuendelea na hii simulizi ya Vipepeo Weusi: Mkakati namba 0034, pamoja na aina za thread ninazoandikaga Jamii Intelligence na nimekuwa natafakari na kufanyia kazi maoni hayo kwa muda sasa na baada ya kutafakari kwa kina nimekuja na wazo hili;
Nimeonelea tuwe na "premium convo" huko PM hapa hapa JF kwa wale ambao wako tayari au tuwe na group ya whatsapp exclusively kwa ajili simulizi hii pamoja na simulizi nyingine ambazo nina mpango wa kuziweka.
Now, how is this going to work??
Katika hiyo convo/whats group nimelenga niwe naweka 4 episodes kila wiki za simulizi hii ya vipepeo weusi na kila weekend nitakuwa naweka Makala maalumu kama zile za kina D.B Cooper au Geranimo ambazo huwa naziweka Jamii Inteligence..
But.. Katika hii convo/whatsapp group kutakuwa na "subscription fee" kwa kila mwezi, na napendekeza iwe Tsh. 5,000/- kwa mwezi.
Lengo ni nini?
Lengo langu kuu kutaka kuweka utaratibu huu ni kama ifuatavyo;
1. Nadhani si dhambi The Bold walau akiwa na kijihela cha kununua juice atulize koo wakati anaandika hizi simulizi na makala. LOL
2. Kwa utaratibu huu ninaopendekeza nadhani walau simulizi itakuwa inaenda haraka so naamini itaisha haraka, maana kwa utaratibu huu wa sasa ambao tumekuwa tunaenda nao hii simulizi inaweza kuisha May/June.. Ila kwa utaratibu huu mpya nadhani ndani ya miezi miwili itakuwa imeisha.. Ziko simulizi nyingine mbili tamu sana natamani kushea nanyi ila nashindwa kwa kuwa hii bado inaendelea. Simulizi hizo moja inaitwa "La Ultima Letra (Herufi ya mwisho)" na nyingine inaitwa ZEO. Ni hadithi mbili matata sana..
3. Sababu yangu ya mwisho, ni kuweka muelekeo mzuri ili kuweza kujua kama kuna 'base' ya kutosha ili kuanza kutoa vitabu hapo miezi ya baadae mwaka huu.
Sasa, najua kuna maswli nitaulizwa! Na moja wapo ni hili; Je, simulizi hii ya Vipepeo Weusi itaendelea humu na je vipi kuhusu makala za Jamii Intelligence?
Jibu: Thread itaendelea humu ila itasimama kwa wiki moja ya kwanza (kuanzia Jumamosi) na ikirejea baada ya wiki hiyo moja, nitakuwa naweka episode moja kwa wiki.
Kwa lugha nyingine, kule kwenye group tunaweza tukawa tumefika episode 21 but huku kwenye huu uzi ikawa episode 9. Na tutaendelea na utaeatibu huo. Hapa itatolewa episode moja per week!!
Na kuhusu makala za Jamii Intelligence, zitaendelea but nitakuwa naweka makala moja kwa mwezi tofauti na kule kwenye group nitakuwa naweka makala kila weekend (makala za uchambuzi) na simulizi nitakuwa naweka episode 4 kwa wiki.
Mwisho,
Kama kuna mwenye maoni, naomba tujadili but naomba tutumie lugha ya staha.
Na kwa walio tayari, naomba uniPM namba yako au nitumie meseji whatsapp kupitia namba 0718 096 811
Asanteni!
The Bold.
The bold,Habari wakuu,

Nimejiandaa namna ya kudeal na hao manyang'au.. Si unajua mimi mwenyewe nina chembe chembe za Vipepeo Weusi.!!The bold usishangae episode za kwenye group zote ukazikuta humu tena mtu kaanzisha na thread yake.. Hivyo ikawa group na thread yake viko episode inayolingana. Na hii yako ndio ikafia hapo kifo cha mende.
Mkuu The Bold nimeenda watsap grp kilichonikimbiza ni baada ya kuona yale macho
(Jst a joke)
wewe mpambe wa Membe una mambo sana.Mkuu na sisi Stuff tunalipia (jokes)
Ingawa usawa wa Magu unabana hakuna namna inabidi tukuunge tu mtu wetu na ni unafiq mtoto wa kiume kupenda vya bure kusubiria hapa JF mi nitakuja hukohuko ila kwa ghost number . Ila mkuu wasap situmiagi inabidi niweke tu kwa kuwa ni mchizi wangu(Ushauri wanawake wawe wengi kuliko wanaume maana si wengine ndio ulemavu wetu huo)
Wazo zuri, mi napendekeza ungefungua Telegram channel, ambapo ni wewe pekee utakuwa na mamlaka ya ku post, sie members kazi itakuwa ni kusoma tu. Whatsapp changamoto za multi-chat zitatuondolea dhumuni kuu la kuburudika na maandishi ya The boldHabari wakuu,
Kuna wazo nalileta kwenu ili tulijadili..
Nimepata maoni ya watu wengi kuhusu namna bora ya kuendelea na hii simulizi ya Vipepeo Weusi: Mkakati namba 0034, pamoja na aina za thread ninazoandikaga Jamii Intelligence na nimekuwa natafakari na kufanyia kazi maoni hayo kwa muda sasa na baada ya kutafakari kwa kina nimekuja na wazo hili;
Nimeonelea tuwe na "premium convo" huko PM hapa hapa JF kwa wale ambao wako tayari au tuwe na group ya whatsapp exclusively kwa ajili simulizi hii pamoja na simulizi nyingine ambazo nina mpango wa kuziweka.
Now, how is this going to work??
Katika hiyo convo/whats group nimelenga niwe naweka 4 episodes kila wiki za simulizi hii ya vipepeo weusi na kila weekend nitakuwa naweka Makala maalumu kama zile za kina D.B Cooper au Geranimo ambazo huwa naziweka Jamii Inteligence..
But.. Katika hii convo/whatsapp group kutakuwa na "subscription fee" kwa kila mwezi, na napendekeza iwe Tsh. 5,000/- kwa mwezi.
Lengo ni nini?
Lengo langu kuu kutaka kuweka utaratibu huu ni kama ifuatavyo;
1. Nadhani si dhambi The Bold walau akiwa na kijihela cha kununua juice atulize koo wakati anaandika hizi simulizi na makala. LOL
2. Kwa utaratibu huu ninaopendekeza nadhani walau simulizi itakuwa inaenda haraka so naamini itaisha haraka, maana kwa utaratibu huu wa sasa ambao tumekuwa tunaenda nao hii simulizi inaweza kuisha May/June.. Ila kwa utaratibu huu mpya nadhani ndani ya miezi miwili itakuwa imeisha.. Ziko simulizi nyingine mbili tamu sana natamani kushea nanyi ila nashindwa kwa kuwa hii bado inaendelea. Simulizi hizo moja inaitwa "La Ultima Letra (Herufi ya mwisho)" na nyingine inaitwa ZEO. Ni hadithi mbili matata sana..
3. Sababu yangu ya mwisho, ni kuweka muelekeo mzuri ili kuweza kujua kama kuna 'base' ya kutosha ili kuanza kutoa vitabu hapo miezi ya baadae mwaka huu.
Sasa, najua kuna maswli nitaulizwa! Na moja wapo ni hili; Je, simulizi hii ya Vipepeo Weusi itaendelea humu na je vipi kuhusu makala za Jamii Intelligence?
Jibu: Thread itaendelea humu ila itasimama kwa wiki moja ya kwanza (kuanzia Jumamosi) na ikirejea baada ya wiki hiyo moja, nitakuwa naweka episode moja kwa wiki.
Kwa lugha nyingine, kule kwenye group tunaweza tukawa tumefika episode 21 but huku kwenye huu uzi ikawa episode 9. Na tutaendelea na utaeatibu huo. Hapa itatolewa episode moja per week!!
Na kuhusu makala za Jamii Intelligence, zitaendelea but nitakuwa naweka makala moja kwa mwezi tofauti na kule kwenye group nitakuwa naweka makala kila weekend (makala za uchambuzi) na simulizi nitakuwa naweka episode 4 kwa wiki.
Mwisho,
Kama kuna mwenye maoni, naomba tujadili but naomba tutumie lugha ya staha.
Na kwa walio tayari, naomba uniPM namba yako au nitumie meseji whatsapp kupitia namba 0718 096 811
Asanteni!
The Bold.
Hongera kwa hilo.. Kumbe tuko wengi vipepeo Weusi big up sanaNimejiandaa namna ya kudeal na hao manyang'au.. Si unajua mimi mwenyewe nina chembe chembe za Vipepeo Weusi.!!
Nafahamu hiyo changamoto but nimejiandaa kudili nao..