Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Asante ila hivi ndo Doctor alivyosema;Oooh sorry
Tatizo langu ni dogo sana, lens yangu ya jicho ina tatizo kidogo na iris yangu jicho..
Sasa for me to get well...natakiwa nitazame kitu kwa hali ya mshtuko ila macho yawe wide opened even for mili-seconds then tatizo linakuwa limeisha..
Na doctor akasema inabidi nitafute kitu ambazo nikikiona moyo unashtuka pwaaa! Then macho yanakuwa wide opened for just a mili-second ...
Len inaji-adust na kurudia hali ya kawaida...
The fistr thing came to me was clkey...! Yaaani nikuona tuu...nimeponaaa! [emoji23][emoji23][emoji23]
Nakutafuta dawa yangu nipone! Nikuona tuu moyo wangu ni pwaaaa! Pwaaa!
I will get illed!