Lutaingia Lita 2000
Halina demage yeyote
Halijawahi kutumika/Halijapauka
Limeshatobolewa cock ya kutolea maji.
Unaweza ukapata na sehemu ya pipe yake yenye urefu wa kama mita 4
Bei 200000
Karibuni PM tufanye biashara
Nalinunua, under one condition..
Niko tayari kwa yote hayo mkuuNalinunua, under one condition..
1. Sio la wizi- sitaki habari za kubeba mzigo unafika kona ya tatu unasimamishwa na askari or worse unaitiwa mwizi unapigwa kibiriti. Uko tayari kwenda kwa mjumbe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayaaa. Mteja Wangu kapigwa Bann kabla sijampa namba za simu.Nalinunua, under one condition..
1. Sio la wizi- sitaki habari za kubeba mzigo unafika kona ya tatu unasimamishwa na askari or worse unaitiwa mwizi unapigwa kibiriti. Uko tayari kwenda kwa mjumbe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana. Kama ipo ipo tuuHayaaa. Mteja Wangu kapigwa Bann kabla sijampa namba za simu.
Daaah
Sent using Jamii Forums mobile app