Unakosea kusema ni Presidential candidates, kama wenyewe wametamka (kutoa nia) ni sahii kusema wao ni Presidential Aspirants!! Chama kwa wakati wake KInamtamka mtu mmojo tu (sio wawili) Prsidential Candidate!!!!
Janeth Mbene!! Kama ni kweli muogope Mungu wangu!!! Kwani uliyonayo hayakutoshi mpaka kuzunguka Serikali za Mitaa,this shows dhamira za watu hawa zilivyokufa!!! Wamebaki makapi tu!! Very Sad!!!
Hilo dala dala utaendesha mwenyewe??? Kama sivyo,jitayarishe kutengeneza kwa kununua spares frequently-they are rekless drivers,hawajali Pesa hyo itatosha???
Kukmatwa Askari 8 kwangu ni kama usanii tu! Wale askari walio muua Kombe,walikamatwa vilie vile,wakapelekwa Mahakamani,wakahukumiwa Maisha,Lakini sasa nasikia wako nje Kwa msamaha!! Ni kiini macho tu,kuficha waahusika halisi waliosababisha vitendo hivyo vya Kishatani
Hilo linatokea kwa zile ATM ambazo ni haziko Compliance na VISA Conditions kwa kuogopa gharama kubwa!! Hence wajanja wanaweka kimashine kwenye ATM,na kuchomoa wakiwa hata nje ya Nchi!! baada ya kujaza Form itakuchukua si chini ya nwezi mmoja(say 45 dys) kurejeshewa pesa km ikithibitika si makosa...
Jamani hakuna Kipengele cha Kumburuza Mahakaman mtu kama Magufuli kwa kosa kama Hili?? Kwani ndo watajifunza na wengine,wataogopa!!! Otherwise 2015 ni Mbali mno
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.