Inategemea; kwa mfano, utambulisho wangu wa kwanza ni MPIGA KURA WA TANZANIA, halafu Uanachama wa CCM ndio unafuatia, na hii ni kwa sababu huko nyuma hapakuwa na chama kingine chenye kuleta matumaini; Vinginevyo katika nyakazi hizi, ninaweza kabisa kumpigia kura mgombea wa Urais kwa Tiketi ya Chadema, CUF, TADEA, TLP, NCCR, CCK n.k katika uchaguzi mkuu wa 2015 kama atakuwa anatosha zaidi ya mgombea wa CCM hasa katika kusimamia masuala ambayo yanafufua matumaini ya watanzania walio wengi in practical terms, sio kama ilivyotokea uchaguzi wa 2005;
It does make sense i.e. to support a leader regardless of his or her party affiliation, especially in the context of our politics where ideological vacuum is the order of the day; Ila suala la Kingangwala kumuunga mkono Zitto mbio za Urais 2015 bado najaribu kulielewa zaidi, kuna some variables bado sina kulielewa kwa undani;