Dr. SLAA sasa atoa facts suala la CCM & silaha, amvaa Amiri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti

Mbona hapa kuna upuuzi mtupu. Andiko lote haluna fact hata moja kusubstantiate hizi serious allegations. Ndo matatizo ya monologue, wanakijiji watshangilia tu Dr Slaa. Leo akija mtu akasema CDM wameficha mabomu sehemu fulani kwa kujiandaa na uchaguzi , bila vielelezo si mtaamini ? Au siyo
ala! Kwanini kama wanasingiziwa wasimburuze Dr.Slaa mahakamani na ikibainika ni uongo afungwe,kwanini hawafanyi hivyo¡? Au unataka kuniambia nchi hii ni ruksa kuongea chochote ukitakacho?
 
wewe usiwe mtumwa wa mawazo namba ya siraha (bunduki) iko hapo waitolee ufafanuzu wala sio siasa

Mwanaweja wewe ndio mtumwa wa kimawazo zaidi, stori yenyewe imekaa kisiasa zaidi, wakati mwingine inabidi tuwaambie hawa wanasihasa wanatuzingua ndio maana hatupigi maendeleo, J137-risasi 8 inatumiwa kuwindia digidigi na mapaka shume. Mbona hio chamtoto kwa ile ya kivita aliokutwa nayo waziri Adam Malima, nyumba ya kulala wageni.
 
Endelea kuwa Tomaso lkn umeshatajiwa na namba ya silaha husika J137, na Kikwete ndio mdau mkuu namba1.

Endelea kuamini hivo ndugu yangu, Ila ushauri wangu wanasiasa wanatakiwa wapewe spidi gavana. Kuna mambo mengi ya msingi zaidi ya inshu za kizushizushi na kukurupuka na za kipropaganda. Daktari alitakiwa awaachie maafisa wasaidizi wake waeneze propaganda wakati yeye ajikite zaidi kwenye sera.
Hivi Rahisi wa nchi anaagiza bunduki moja ya mchina yenye risasi nane (8), mmmmh........mimi hapo sijadanganywa bado. Ningekuwa namsikiliza laivu ninge mkwizi kidogo kuhusu umakini wake.
 
Ni mtu mjinga mjinga tu anaweza kuamini hii trend of thoughts, kuwa silaha moja ndo ina wawinda viongozi wa CDM wakati mwenyewe DrSlaa alikutwa ana mbili!

Wakuu April Fools day ilishapita!

Nilidhani ungeshauri vyombo vya usalama wachunguze ili ukweli ujulikana wewe unaongee pombe tupu,ushabiki wa kisiasa usikufanye ushindwe kutumia akili japo unazo kidogo.
 
Mwanaweja wewe ndio mtumwa wa kimawazo zaidi, stori yenyewe imekaa kisiasa zaidi, wakati mwingine inabidi tuwaambie hawa wanasihasa wanatuzingua ndio maana hatupigi maendeleo, J137-risasi 8 inatumiwa kuwindia digidigi na mapaka shume. Mbona hio chamtoto kwa ile ya kivita aliokutwa nayo waziri Adam Malima, nyumba ya kulala wageni.

Mkuu ina maana hiyo bunduki J137 haiui binadamu? ..... ha haaaa haaaa

Vichaa ni wengi jamani
 
Kuna matomaso yatakuja hapa na kuto amini kama ile list of shame
 
Binafsi ni muumuni wa facts na hapo pana facts;
Jina na namba ya silaha vimetajwa nyie mnaosema silaha moja itatosha nini Kiukweli si waelewe??
Dr kesha sema katoa kama angalizo mamlaka husika zifanyie kazi huu ushahidi waje watuambie hiyo silaha inamilikiwa na nani na uhalali wake, hapo tutajua nani mkweli NAPE au Dr SLAA
 
Ni mtu mjinga mjinga tu anaweza kuamini hii trend of thoughts, kuwa silaha moja ndo ina wawinda viongozi wa CDM wakati mwenyewe DrSlaa alikutwa ana mbili!

Wakuu April Fools day ilishapita!

Kumbe wenye akili za kuku mko wengi. Amesema ccm wanaingiza silaha nchini na kuzigawa kwa vijana wao wanaofundishwa uharamia; kutesa na kuua.
Akataja silaha mojawapo katika nyingi zilizoingizwa nchini, akataja hadi namba yake lakini bado tu unambwelambwela huku na huko usielewe kinachosemwa.
 
Mwanaweja wewe ndio mtumwa wa kimawazo zaidi, stori yenyewe imekaa kisiasa zaidi, wakati mwingine inabidi tuwaambie hawa wanasihasa wanatuzingua ndio maana hatupigi maendeleo, J137-risasi 8 inatumiwa kuwindia digidigi na mapaka shume. Mbona hio chamtoto kwa ile ya kivita aliokutwa nayo waziri Adam Malima, nyumba ya kulala wageni.

Sasa hapa umeandika nini mbona unajichanganya mwenyewe? Hata kama hiyo silaha J137 inatumika kuwinda mapakashume lakini haikuingia nchini kihalali na inaweza kutumika kuwindia wapinzani wa kweli wa ccm.
Achana na mawazo ya kitumwa ili uuone ukweli wa hoja hii.
 
Hapa kuna watu wanazidi kuingia mtegoni sasa huyo aliyetajwa nae anamiliki silaha kihalali? Pili je wao SiSiEM huwa wanatoa fact za propaganda zao Kama hivi? Hapa ndipo tujiulize badala ya kutoka povu...

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ni mtu mjinga mjinga tu anaweza kuamini hii trend of thoughts, kuwa silaha moja ndo ina wawinda viongozi wa CDM wakati mwenyewe DrSlaa alikutwa ana mbili!

Wakuu April Fools day ilishapita!

uwe unajitahdi hta kushirikisha ubongo wako japo kiduchu,wewe unazani hyo silaha iliagizwa yenyewe??
Hiyo ni ambayo imetolewa facts na Dr.that means zngine zipo.,masa.bur yako..
 
Dr Slaa amedhihirisha kwa watanzania anataka msaada wa matibabu, hapa anazungumzia bastola moja number J137 hivi bastola moja kuingia nchini ndio unafanya press conference na kutoa tuhuma nzito na kuihisisha CCM kuidhibiti CDM?

Hivi tumezungukwa na nchi ngapi zilizoathirika na vita na hatimae silaha kutapakaa sehemu mbalimbali katika miji yetu iliyopo pembezoni mwa nchi. Gun trafficking ni tatizo hata kwa nchi zilizoendelea hivi hapa anataka kutueleza hizo nyaraka ndio za hiyo bastola?
 
Nilikuwa natafuta maoni yako tu mkuu.
Umeamkaje lakini.

Album mpya ya chadema ni "bubu". Tutasema, tutataja.

Na kuna misukule inashangilia, wanafanywa kama kama watoto wa kuku, "mtanyonya kesho".
 
Back
Top Bottom