Askari 8 wanashikiliwa Morogoro kwa tuhuma za Mauaji ya Ally Zona

Mwema alitakiwa awe amekabidhi barua ya kujiuzuru kwa shemeji mda mrefu ulopita, bado anafanya nini?????

Subiri mtaona matunda ya ccm kuendekeza uchochezi wa kidini, ukanda na ukabila hasa kwa kuonesha chuki kwa cdm ya waziwazi wengine wakipeta haponi mtu..................
 
Serikali inafikiri inaongoza mandondocha. Nape kwa kutuita sisi maskini, anafikiri hadi akili zetu ni maskini.
 
Mbona wanawaacha wahusika halisi Mwema na Nchimbi na kuwaonea hawa wanaopokea amri zao tu na hawatakiwi kuzipinga!

Wahukumiwe kwa ujinga wao, na wengine wajifunze kutokana na ujinga wa wenzao. Kwamba wanatumiwa kama kond.om.u. Na inakuwa funzo kwa wanaobaki.
 
Jioni kupitia Star tv nimeona mzalendo mmoja ambaye ametembea kwa Miguu kutoka Makambako hadi Nyololo sehemu mauji ya Mwangosi yalipofanyika.Ujumbe aliotoa huyo mzalendo ni mzito ameeleza damu ya Mwangosi haitapotea bure.
 
tunataka IGP Mwema pia RPC wa Iringa Maiko Kamuhanda wakamatwe na wafunguliwe mashitaka ya mauaji ya Daudi Mwangosi pia kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Faustin Shinogile na askari wote walio waua watu wasiokuwa na hatia wakamatwe.
 
Serikali ya CCM imeshikwa pabaya, propaganda zao katika mauaji safari hii haziuziki, mapicha live yameonyesha. Kesi za mauaji hazina time frame, siku itafika madaraka yataisha, kinga itanyofolewa na sheria itachukua mkondo wake
 
Wakuu hivi huyo muzungu kwenye picha ni nani? Kweli hili chama ni balaa limedhihirisha ni la wote hakuna ubaguzi wa aina yoyote iwe dini, rangi, jinsia, wala nini. Viva Chadema.

.
Sio zungu wewe huyu ni nduguye rostam ambae ni mdogo wake na deuji kwa baba mkubwa abood. Ameongoka kutoka katika matendo machufu ya ufisadi wa ccm, na ni Chadema damu kwa sasa.
.
 
Mbona wanawaacha wahusika halisi Mwema na Nchimbi na kuwaonea hawa wanaopokea amri zao tu na hawatakiwi kuzipinga!

Hata malaika mtoa roho hotoa za watu wote mwisho anajikuta kabaki mwenyewe ndio anajimalizia kaanzia chini kwenda juu kujivua gamba mpeni muda wasife wenyewe serikali ya CDM si imeshatoa tamko bado utekelezaji ndio tuna usubiria hawako salama wote
 
.
Sio zungu wewe huyu ni nduguye rostam ambae ni mdogo wake na deuji kwa baba mkubwa abood. Ameongoka kutoka katika matendo machufu ya ufisadi wa ccm, na ni Chadema damu kwa sasa.
.

Huyo jamaa namkubali sana..he's very intelligent na m1 kati ya wahindi wachache wanaojua kujenga hoja..aligombea jimbo moja na Kafulila akawa wa pili kutokana na Fitna za NAIBU KATIBU MKUU huko KIGoma..ambaye alihakikisha JK anapata kura nyingi jimboni kwake kuliko mgombea wa chama chake..!
 
.
Sio zungu wewe huyu ni nduguye rostam ambae ni mdogo wake na deuji kwa baba mkubwa abood. Ameongoka kutoka katika matendo machufu ya ufisadi wa ccm, na ni Chadema damu kwa sasa.
.

Ha ha ha ha ha! Unanikumbusha yale mambo ya extended families kule kwa wagosi. Ukichunguza utakuta unamzungumzia mtu huyo huyo mmoja. Anyway, asiye kinyume chetu yu pamoja nasi ila amepungukiwa neno moja tu, akavae vazi la ukombozi kwenye hadhira kama hiyo.
 
Kukmatwa Askari 8 kwangu ni kama usanii tu! Wale askari walio muua Kombe,walikamatwa vilie vile,wakapelekwa Mahakamani,wakahukumiwa Maisha,Lakini sasa nasikia wako nje Kwa msamaha!! Ni kiini macho tu,kuficha waahusika halisi waliosababisha vitendo hivyo vya Kishatani
 
-Habari zilizotufikia punde ni kwamba askari wanane (8) wamekamatwa mkoani Morogoro kwa tuhuma za mauaji ya Muuza magazeti Ali Zona wakati wa maandamano ya Chadema yaliyofanyika mwezi uliopita mjini humo.

-Mjini Iringa mtuhumiwa wa mauaji ya Daudi Mwangosi hakuweza kufikishwa mahakamani leo kama ilivyokuwa imepangwa.

-IGP Mwema bado yupo Iringa anahaha kuzungumza na viongozi wa dini kusaidiwa kupoza mambo katika jamii kuhusu tukio la kuuawa kwa mwandishi wa habari Daudi Mwangosi, tukio ambalo limeonekana kugusa hisia kali miongoni mwa wanajamii mkoani humo.

Iweje leo wawe police wakati awali walisema alipigwa kwa kitu kizito wakati police wao walikuwa na silaha tuu?
 
Back
Top Bottom