CHADEMA mnataka mteremshiwe gunia la chawa?

CDM needs to seize this opportunity to force the resignations of those who were implicated! Vinginevyo kama nilivyowahi kuwaambia huko nyuma.. wasubiri kuendelea kubeba majeneza na kutoa hutuba za uchungu hadi qiyama.
Mkuu Mzee Mwakijiji, nakuomba usiendelee kuwaambia!, wasaidie!. Tukubali tukatae, Chadema needs help on this!. Siubezi uwezo wa JJ. Mnyika kama Msemaji, Ofisa Habari etc, Chadema inahitaji a " Strategic Communicator" ili afanye strategic communication!. Sifa kuu ya kwanza kwa any any strategist, ni "nose for news" kuweza kuzinusa hizo "opportunities" ndipo waweze kuzi "seize"!.

Amini usiamini, inawezekana kabisa mpaka sasa, Chadema hawajaziona hizo opportunities kwa sababu hawana "nose for news"!. Hivyo pale makao makuu, wanakuhitaji sasa mtu kama wewe Mzee Mwanakijiji!.

Nakuomba Mzee Mwanakijiji, ihesabu Chadema kama Mwanamke wa Kiasili wa Kiafrika!, hata apende vipi, kamwe hathubutu ku mua approach mwanaume na kumwambia anampenda!, atajipitisha pitisha kuweka mazingira ya kujiavail ili wewe umuanze ndipo akumwagie penzi lake!.

Chadema inashida sana ya mtu wa communications za watu wa strategies wa type kama yako, Nguruvi3, Mchambuzi, etc on board. I hesabu inaona aibu kutoa siri za udhaifu wake kwa kujitongozesha, inahitaji kuwa approched na kusaidiwa!.

Kama kwenye uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru, "Nasari" aliutoa ule "waraka" na ukasaidia leo tumeona matokeo na mpaka leo wana Arumeru, wanafaidi matunda, why don't you help by proxy?!.

Please do!.

Mimi kwa vile nina chama, na sio Chadema, kazi yangu ni kuendelea kusema tuu!, soon nita put up another talk show on air, kazi yangu ni kuwapa opportunity ya kusema wasikike, nitawapa vyama vyote, wasipo utilize such opportunities, wenzao watazi utilize na come 2015, matokeo yakitoka, tusilaumiane maana tuliwaambia, tukawapa fursa wakashindwa wenyewe kuzitumia!.

Nakuomba na wewe jitolee, stretch your helping hand uwasaidie on "strategic communications" wakipokea mkono wako, they will never be the same again, wakikataa, unaendelea na maisha yako but with clear conscious kuwa "at least I tried to help!".

Watch out yasije kuwa kama zile "Burundi Peace Talks" za enzi zile, watu walipenda zaidi per diem ziendelee kuliko kufikia makubaliano!. Usikuta kuna vyama vinapenda kuwa wapinzani wa kudumu, viendelee tuu kuhamasisha maandamano na kuendesha mikutano ya hadhara!.
Pasco.
 
Wewe ambaye unafikiri vizuri anzisha maandamano Dr Slaa yeye atakuwa hoteli kapumzika nyie ndio mnatakiwa kuwa mstari wa mbele kupambana na polisi kuwakomboa watanzania au nyie maandamano yenu mnayafanyia JF.
Vijana tupo na tutangulia mstari wa mbele na viongozi wetu watakuwa nyuma kama yalivyokuwa maandamano ya kidongo chekundu ambapo sheh Issa Ponda alikuwa nyuma yetu!
 
Nakuomba Mzee Mwanakijiji, ihesabu Chadema kama Mwanamke wa Kiasili wa Kiafrika!, hata apende vipi, kamwe hathubutu ku mua approach mwanaume na kumwambia anampenda!, atajipitisha pitisha kuweka mazingira ya kujiavail ili wewe umuanze ndipo akumwagie penzi lake!.
Mkuu umetoa ujumbe mzuri sana lakini kwa hili hapa umeniacho hoi kabisa,naona kama kuna vimelea vya kudharau wanawake wa kiafrika. Ni vema kuheshimu hisia za wanawake wa kiafrika badala ya kudharau au kukejeli kama ulivyofanya mkuu.Pasco.
 
Kwa kweli katika hili viongozi wangu wamechelewa, mimi nilitarajia hata baada ya ripoti za MCT na ile ya Nchimbi mara moja lingetolewa tamko zito sana, bahati nzuri tume ya haki za binadamu na utawala bora inekuja kumaliza kazi.

Kama alivyosema mdau hapo juu VUTA-NKUVUTE, tumepata penalty dakika ya mwisho ya muda wa nyongeza. Natarajia hadi kesho tutakuwa tumesikia kauli rasmi ya chama juu ya hizi ripoti.
Mkuu Mwita Maranya, mkubali mkatae, mna tatizo on "communications" and you need help!. Mnahitaji "mtu"!.

Nakuomba washauri viongozi wako, muwasome sana hawa jamaa wawili humu jf 1. Nguruvi3 2. Mchambuzi!. Chadema will never be the same again!. 2015 mlango wazi kabisa ni kwenda tuu na kuingia!, nyie mnaendelea kucheza makida makida, mara kidali poo huku mkichezea shilingi chooni!.
P.
 
yakhe fitna tu maandamano taka waume haswa waliokamili; mtoi; babukijiji kelele nyingi hawana lolote

Wanadhani maandamano mchezo huyo Mtoi anajisifu eti kashiriki maandamo mengi ya Chadema, maandamano ya Chadema wanaandamana kini Halima Mdee huku wamepaka poda na kasuka rasta, ingia barabarani pambana na polisi.
 
Vijana tupo na tutangulia mstari wa mbele na viongozi wetu watakuwa nyuma kama yalivyokuwa maandamano ya kidongo chekundu ambapo sheh Issa Ponda alikuwa nyuma yetu!

Usifananishe maandamano ya Chadema na maandamano ya Waislam, Ponda alikuwa mbele akiongoza maandamano wakati Dr Slaa alikuwa kalala hotel.
 
Usifananishe maandamano ya Chadema na maandamano ya Waislam, Ponda alikuwa mbele akiongoza maandamano wakati Dr Slaa alikuwa kalala hotel.

Mkuu mbona unataka kupotosha umma?siku ile tuliwatanguliza wanawaka mbele na sisi tulikuwa nyuma yao au haukuwepo nini?
 
Chadema hawana uwezo wa kuitisha maandamano nchi nzima sababu hawakubaliki kwa watanzania, maandamano ya Chadema yanaweza kufanyika Arusha na Kilimanjaro tu.
 
Haya msemaji wa watanzania
Chadema hawana uwezo wa kuitisha maandamano nchi nzima sababu hawakubaliki kwa watanzania, maandamano ya Chadema yanaweza kufanyika Arusha na Kilimanjaro tu.
 
Mkuu Mwita Maranya, mkubali mkatae, mna tatizo on "communications" and you need help!. Mnahitaji "mtu"!.

Nakuomba washauri viongozi wako, muwasome sana hawa jamaa wawili humu jf 1. Nguruvi3 2. Mchambuzi!. Chadema will never be the same again!. 2015 mlango wazi kabisa ni kwenda tuu na kuingia!, nyie mnaendelea kucheza makida makida, mara kidali poo huku mkichezea shilingi chooni!.
P.
Naunga mkono hoja mkuu wngu ushauri wako kwa CHADEMA siku zote una mazur japokua ww upo upnd wa EL
 
''To some people to delay is weakness" Hope they need to prepare kwa fight ambayo si lele mama,but very complex
 
unaogopa kukorofishana na wetu wengi katika kupigania mema?. Bora uendelee kuwa please wengi, huku mkicheka na ngedere shambani!, mtavuna mabua!.

well CDM ni chama kikubwa kinaweza kuwa na mtu yeyote anayeweza kufanya kazi hiyo binafsi siko interested na jukumu hilo I could some other things more productive katika kuleta mabadiliko.
 
Mkuu mbona unataka kupotosha umma?siku ile tuliwatanguliza wanawaka mbele na sisi tulikuwa nyuma yao au haukuwepo nini?

Unaongelea maandamano gani? Maandamano ya waislam yalifanyika ni ya sensa nadhani uliona watu wa shoka, kidogo chekundu ilikuwa sio maandamano ni mkutano wa kawaida, wanawake walikwenda kukata uzio wa uwanja kidogo chekundu huku wanaume wanawambia polisi mkiwagusa hao wanawake mtajuta, polisi wote waliogopa, sasa kama nyie kweli wapambanaji na watanzania wapo nyuma yenu ingieni barabarani.
 
Mimi napenda kupingana na watoa hoja wengi ambao wanadai cdm waamke wafanye capitalization kwenye ripot hizo mbili, lakini mtoa mada amesahau mambo kadhaa ambayo CDM wanasimamia kama ifuatavyo;
  1. CDM walishakataa toka awali kuwa tume ya nchimbi haiko kisheria kwa hiyo mwenye mamlaka kuunda tume ni RAIS pekee
  2. CDM walitoa msimamo wao pia baada ya kuandikia Rais WARAKA MAALUM WA KUMTAKA AUNDE TUME HURU itakayopewa terms of reference na yeye rais ili baadaye ilete majibu kwa watanzania na yawekwe wazi.
  3. Mtakumbuka CDM hata walipoitwa na kamati ya nchimbi kutoa maelezo ya kilichojiri walikataa kwamba; tumemwandikia rais aunde tume ambayo CDM itakuwa tayari kushirikiana nayo,lakini ya nchimbi walikataa katakata
Kwa hayo machache ninaungana mkono na CDM kwamba wasithubutu kufungua mdomo kuongelea hayo majibu sisi watanzania HATUTAWAELEWA MSIMAMO wao.Ninaamini CDM ndicho walichokisimamia, haiwezekani waikatae kamati ya nchimbi halafu wayakubali majibu yake na ya ile tume isiyo ya kisheria
 
Mkuu umetoa ujumbe mzuri sana lakini kwa hili hapa umeniacho hoi kabisa,naona kama kuna vimelea vya kudharau wanawake wa kiafrika. Ni vema kuheshimu hisia za wanawake wa kiafrika badala ya kudharau au kukejeli kama ulivyofanya mkuu.Pasco.
Mkuu Tukutuku, hii sio dharau ni sifa!, ndio maana mwanamke wa Kafrika anasubiri mpaka apendwe!, na akipendwa kwanza hujifanya hataki huku anataka na ndia maana kwenye ndoa hupigwa, mume hutoka nje na kurudi akimkuta anasubiri tuu!.

Mwanamke wa kizungu, akipenda anakuja staight na kukueleza!, ukimletea za kuleta, off she goes!. Akigundua una cheat, that is the end!.

Chadema inashida sana ya mtu wa full time wa communications. JJ.Mnyika abaki tuu kama mkurugenzi lakini pale panahitajika team na team hiyo iwe na mtu wa "strategic communication"!. Kama Ikulu, Salva ni Mkurugenzi, chini yake yupo Premmy, Michuzi, Minde, Maro, Balua, Kengele kina Kisori etc. Mnyika aendelee kuwepo ila anahitaji watu, wanahitaji team, ndio maana M4C ime invest kwenye ma 4x4 na PA focus ikiwa ni maandamano na mikutano ya hadhara wakati hakuna any investment on "mass communications" kama owning media which costs less reach most!.

Mpaka sasa, all Chadema publicity zinatengemea huruma ya friendly media tuu!. Press realese ni mpaka JJ. Mnyika apate muda!. Watu wako active 24/7 linatokea jambo kubwa kama ripoti ya THBUB Chadema iko kimya 24 hours zimepita!, jana 48 hours zimepita!, leo zinakwenda saa 72!. Japo Chadema haisemi kuwa inashinda, kiukweli inashida na inahitaji sana kusaidiwa kwenye hili!. Watu wa kusaidia wapo!, nimewashauri, sasa wasiisubiri Chadema iseme inashida, nimewashaiuri wajitoe tuu kusaidia!.
P.
 
  • Thanks
Reactions: ral
1. Dr slaa.
2. Mbowe
3. Lissu
4. Zitto
Popote mlipo, amkeni mhamasishe umma wa wana Iringa ili kumtendea haki marehemu Daudi Mwangosi,ally zona na wengine wengi walio uwawa mikononi mwa Polisi, ile kauli ya hakuna kulala mpaka kieleweke ndio inatakiwa kutumika hapa kuwaondoa mabaradhuri walio sababisha vifo vya watanzania wenzetu! Chama kitatuangusha kama kitanyamaza baada ya kutolewa ripoti yenye nguvu za kisheria.

Tusisubiri kesho, tuanze sasa maana ukimya wetu ni mauti kwa wengine, 'hakuna kulala mpaka haki ipatikane, na ikipatikana wahusika wawe wameshapoteza nafasi zao'

Mkuu huyo kwenye RED I mean ZZK hawezi ana MoU na TISS na policcm, hajawahi hata kukemea wala kusemama lolote, Binafsi nimewahi kumuuliza ZZK, kuwa vijana wanakufa na wewe unataka "urais" kwa kigezo ni "zamu ya vijana", mbona huwatetei na kulikosoma jeshi la polisi hadharani. mkuu inasikitisha mpaka sasa hawezi jibu kutokan kuwa na ndimi mbili, I meant kutumikia mabwana wawili.
 
well CDM ni chama kikubwa kinaweza kuwa na mtu yeyote anayeweza kufanya kazi hiyo binafsi siko interested na jukumu hilo I could some other things more productive katika kuleta mabadiliko.

Mark Antony: I thrice presented him a kingly crown. Thrice he refused. Was this ambition?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom