Issue ya UMEME kusini haswa kwa mikoa ya Lindi na Mtwara punde tutakuwa na neema pindi hicho kituo cha kupooza umeme kitakapoanza kazi rasmi. Kwa upande wa mtwara kimekamilika ila kwa Lindi bado kuzinduliwa tu. So ndugu zangu wa kusini tuwe na subira mwezi wa 7 siyo mbali
hebu tujiulize kwann polis wasianze na huyo aliyerusha hyo video aeleze kaitoa wap au kapewa na nan? halafu hv inawezekana mtu akawa anapanga mbinu za hatar na huku anachukuliwa video? anyway tuseme mchukua video alikuwa amejfcha ila mbona ktk hcho kikao kinaonekana kilikuwa cha waz sana maana...
safi sana mkuu tulianza na ww kwa kulinda kura na tutamaliza na ww katika kusaidiana kuleta maendeleo siyo ubungo tu bali tanzania kwa ujumla kwan ww ni mbuge wa kitaifa!
duh hapo inakuwa ngumu maana huyu ni mtumishi wa mungu tena mwenye ngazi ya uaskofu iweje anaongea maneno ya kuiskia kwenye public? kama ilivyosemeka kuna watumishi kule arumeru walihongwa basi ni wa aina hii!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.