Jaslaws JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 6,016 Reaction score 5,300 Aug 14, 2012 #21 Kuna watu walisoma kipindi cha migomo baridi ya waalimu,hata kutofautisha METHALI na MISEMO wanashndwa!!
Kuna watu walisoma kipindi cha migomo baridi ya waalimu,hata kutofautisha METHALI na MISEMO wanashndwa!!
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Joined Jul 12, 2012 Posts 2,042 Reaction score 603 Aug 14, 2012 #22 nikifumba macho naona **** lako.
Simba Mkali JF-Expert Member Joined Jan 31, 2012 Posts 620 Reaction score 243 Aug 14, 2012 #23 Ngoja ngoja huumiza matumbo
Kecha Boksi Member Joined Nov 5, 2010 Posts 55 Reaction score 110 Aug 14, 2012 #24 Samaki mmoja akioza wote wameoza! Siku hizi kuna majokofu, kwa hiyo unamtoa yule aliyeoza wengine unawaweka kwenye jokofu.
Samaki mmoja akioza wote wameoza! Siku hizi kuna majokofu, kwa hiyo unamtoa yule aliyeoza wengine unawaweka kwenye jokofu.
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,271 Aug 14, 2012 #25 Mtaka cha uvunguni sharti ainame
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,152 Reaction score 9,268 Aug 15, 2012 #26 Duduwasha said: Navyokupenda afrodenzi Nitakununulia Treni Click to expand... hahahahahahhah Duduwasha vituko bado hujaacha tu ..:caked: Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Duduwasha said: Navyokupenda afrodenzi Nitakununulia Treni Click to expand... hahahahahahhah Duduwasha vituko bado hujaacha tu ..:caked:
Inno laka JF-Expert Member Joined Mar 24, 2012 Posts 1,616 Reaction score 585 Aug 15, 2012 #28 Kila chenye mwanzo...' vingne havinaga mwisho
Matata255 Member Joined Aug 1, 2012 Posts 78 Reaction score 9 Aug 15, 2012 #29 Haba na haba hujaza kibaba (vbaba vya sikuhizi havijai cjui vna leakage?)
M mgosiwakaya Member Joined Aug 10, 2011 Posts 61 Reaction score 13 Aug 16, 2012 #30 ccm itatawala milele...ni miongoni mwa misemo iliyopitwa na wakati!