Meneja TANESCO Kilwa asaidiwe

Mkumbwa Jr

JF-Expert Member
Mar 23, 2016
1,179
2,000
Yaani wilaya hii hayaishi masaa 24 bila imeme kukatika
Hii ni hasara kwa watumiaji ila zaidi serikali haipati mapato ya kitosha

Jamani simjui meneja huyo ila amechoka nashauri apumzike ije nguvu mpya yenye ubunifu,huyu anafanyakazi kwa mazoea
 
Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
7,642
2,000
tatizo sio meneja wa tanesco kilwa BUT tatizo lipo pale somanga power plant ambapo napo tatizo SIO meneja but uchakavu wa mashine za kuzalisha umeme. Mashine zinarun below capacity kutokana na kutofanyiwa matengenezo kwahiyo lawama ziende pale mjengoni ubungo sababu wanataarifiwa juu ya ubovu wa mashine but wanapuuzia.
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
22,566
2,000
Usimlaumu meneja,shukuru mungu,kuna baadhi ya wilaya wanashida ya umeme kuliko kilwa,ushauri wangu kilwa ni mji mkongwe na watu wake wameona mengi nenda ofisi za tanesco kaulize tatizo ni nini, halafu njoo hapa jukwaani
 
TANESCO

Verified Member
Jul 12, 2014
2,354
2,000
Yaani wilaya hii hayaishi masaa 24 bila imeme kukatika
Hii ni hasara kwa watumiaji ila zaidi serikali haipati mapato ya kitosha

Jamani simjui meneja huyo ila amechoka nashauri apumzike ije nguvu mpya yenye ubunifu,huyu anafanyakazi kwa mazoea
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO.....................

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
21,306
2,000
tatizo sio meneja wa tanesco kilwa BUT tatizo lipo pale somanga power plant ambapo napo tatizo SIO meneja but uchakavu wa mashine za kuzalisha umeme. Mashine zinarun below capacity kutokana na kutofanyiwa matengenezo kwahiyo lawama ziende pale mjengoni ubungo sababu wanataarifiwa juu ya ubovu wa mashine but wanapuuzia.
Halafu na CITIZEN la jana umelisoma? M&P wanaweza wakasitisha upelekaji wa gesi kwa vile serikali inadaiwa hela nyingi na hawa jamaa
 
mgosiwakaya

Member
Aug 10, 2011
61
70
Issue ya UMEME kusini haswa kwa mikoa ya Lindi na Mtwara punde tutakuwa na neema pindi hicho kituo cha kupooza umeme kitakapoanza kazi rasmi. Kwa upande wa mtwara kimekamilika ila kwa Lindi bado kuzinduliwa tu. So ndugu zangu wa kusini tuwe na subira mwezi wa 7 siyo mbali
 
Mzuzu

JF-Expert Member
Jul 11, 2007
492
500
Hali ya umeme kwa eneo hilo kwa kweli inasikitisha sana na ni aibu kwa Tanesco. Kukosa umeme siku 1 hadi wiki ni kawaida kabisa na hapa. Leo ni siku ya pili, yani tangu juzi hamna umeme Kibiti, Ikwiriri na kwingineko na hata wateja hawaambiwi nini kinaendelea. Hasara sana watu wanaingia hasa wafanya biashara, wadogo ndo biashara zao zinakufa kabisa. Safari bado ndefu sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom