chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 900
kweli nao wakumbane na mkono wa sheria tu
ni wa ccm tu hao ila hawatatajwa!
Jamani, kama ni hao Wenyeviti wa vijiji ndo wamehusika basi sioni kama kuna sababu ya kujiuliza kama haya mauaji si ya kisiasa! Wangekuwa wamehusika Mapadre watatu au Masheikh watatu, tungejua ni mauaji ya Kidini. Msikwesekwepese!....tusubiri taarifa zaidi ili tujue ni wa chama gani na walikuwa na sababu za kisiasa au vinginevyo. Inatisha sana!
Wakithibitika basi nao wanyongwe publically ili iwe fundisho.
kwa wale wakazi wa USA river karibia na eneo la tukio, fanya kauchunguzi kidogo tu.DON'T BE biased
Wewe shadadia tu,unaweza kukuta watuhumiwa ni wenyeviti wa Chadema...
Wewe shadadia tu,unaweza kukuta watuhumiwa ni wenyeviti wa Chadema...