Recent content by mfunzwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale vijana wa kiume, mnawezaje kusema sitakuja kuoa mwanamke aliyezaa?

    Shida mtoto akija kumtaka baba yake...hapo itakuwaje!?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa huyu Mama mjamzito: amepimwa na kukutwa na kisukari wakati hakuwamacho awali

    Inabidi mumuone daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama na wajawazito, ana matatizo mawili, Upungufu wa damu na Kisukari cha ujauzito. Kunywa folic acid na mboga za majani pekee bila kujua chanzo haitoshi kutibu tatizo, na hapo hujazungumzia nini kinafanyika juu ya hio sukari, ana...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bila B Dozen bado XXL ni show nzuri

    Media isiyotetereka na haina makuu ni EAST afica radio, nawakubali jamaa!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli watu weusi tuna akili ndogo?

    Hatuna akili ndogo, labda tuna ufinyu wa mawazo unaotokana na umaskini uliokithiri, Vita vya wenyewe kwa wenyewe, uwekezaji duni kwenye mambo ya msingi( elimu,afya, utafiti na teknolojia, intelejensia za kiuchumi), uongozi uliokosa dira( kujimilikisha nchi, udikteta uchwara, wasomi wanaopumbazwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Divine matrix under entangled reality

    Ungeweka mfano au scenario ya hizo universal laws na any form of violation na how the positive au negative forces reacts ungeeleweka zaidi!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    Nasikia mshahara ni siri ya mtu, au Kuna exception kwa viongozi wa serikali!?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani wa Tanzania ni upinzani makini wa kweli, au ni upinzani uchwara? Kasi ya JPM itaua upinzani uchwala na kuibua upinzani makini wa kweli au?

    Bongo bado sana, ni mpaka pale ushabiki wa kisiasa utakapofika tamati ndipo pale wanasiasa na wapiga kura watazingatia ulichozungumza.
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Why is Kenya more famous than most other African countries? Is this true or exaggeration

    And this makes you feel as some kind of first grade Africans as if that exists!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Naam... shukrani!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Msaada...last scandal of my life...nitaipataje!?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Sio sahihi kabisa..not their choices,Kuna factors nyingi sana!! Kuna watoto wa sekondari(wanadanganywa), kutokua na elimu ya afya ya uzazi( namna ya kujilinda), Kuna wanaobakwa!! Na atlast, sio wa kulaumiwa!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Usawa wa kijinsia, ongezeko la wanawake wasomi na wanaoweza kutengeneza kipato binafsi umetikisa mihimili ya mahusiano na ndoa kwa ujumla...kudai usawa katika kila jambo ndio shida inapotokea, wanawake wakitambua nn wanatakiwa kufanya na mipaka yao,na wanaume pia tunaweza kuendana na mabadiliko...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Mistakes happen, coz wanawake ndio wanabeba mimba na kubaki na watoto ndio wananyoshewa vidole!! Loyalty ni suala la mtu,awe na mtoto au asiwe nae!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nimemtongoza siku ya tatu leo tayari ameanza kunitoboa

    Ubhe utakutamya..
Back
Top Bottom