msomaji hua nazidi kusogeza kiti tu uzi nimeuelewa na upo vizuri
ngoja niulize hii kitu inaitwa unvers low ni nguvu ya kiasi gani na iko wapi ......?
je hiyo nguvu nayo ni kama proglam kiasi kwamba wadukuzi wanaweza kuipalaganyua kwa jinsi wanavyo weza hadi isiweze kua na utambuzi .....? [hii nimeuliza baada ya kusoma kwamba kuna watu wanaoweza kuiongoza hiyo nguvu kiasi kwamba hata wakifanya makosa hawawezi kupata na matokeo hasi ya uovu wao ]
naludia tena kuuliza je hiyo nguvu iko wapi hadi kuweza kupokea na kutoa majibu kwetu sisi wahusika ?
binafsi najua tunaishi ndani ya box uwezo na ufahamu wetu unazidiana na mtu akikuzidi ufahamu kwa dot nyingi hivyo anaweza kukuongoza na ukamfuata yeye sasa inawezekana vipi kuwe na nguvu ..........nadhani niishie hapa maana ntakosa ata ninachokiuliza nasubili majibu ili nianze kufunguka zaidi
Mkuu thanks a lot kwa swali lako lakini kama ni mfuatiliaji mzuri wa uzi huu utagundua kuwa kuna mtu alishawahi uliza swali kama hilo na kuna baadhi ya majibu yalishatolewa..
Lakini nikjibu tu kwa niaba yako ( basing with my own perspective awareness) ni kwamba universal laws ni patterns at which the individual mind is directly connected to universal frequency energy ambayo kimsing ndo nguvu iliyo na uwezo wa kukufanya uwe harmony and peace to understand boundaries of limitation katika kuinteract na nature of reality..
We get difficultness kwa sababu we encounter different frequencies ambazo zinatufanya tuwe tuna dance out of universal tune frequency ( problems)..
For your mind to survive katika ulimwengu wa 3D inahitaji iwe na uwezo wa kumove across boundaries of limitation ambazo hizo limitations ni different frequencies zenye energy tofauti ambazo huifanya mind yako kuwa connected na negative forces na kuifanya ishindwe kumove katika harmonity aliyo sawa..
Ili uweze kuendelea kusavaivu under minimal limitation unahitaji kuwa kwenye orbit ya universal frequeny energy lasivyo maisha yako yatakuwa mafupi na hutafika mbali kimaisha kwa sababu yo mind gets tired of upgrading from lower form of reality to higher form of reality katika true quantum realm...
for your mind to survive to higher quantum realm ,it needs universal frequency energy ili iweze kuwa connected kwenye orbit ya kumove pakubwa zaidi la sivyo itabaki hapo hapo na uelewa mdogo na haitaweza kumover across boundaries of limitations..
So kuna umuhimu mkubwa sana why mtu unaambiwa uapgrade cosncious awareness yako kwani hiyo ndo itakatokufanya uwezo kuona mambo katika dimension kubwa zaidi kuanzia 4D na kuendelea na hivyo kuifanya mind yako kuww na uwezo wa kumove na ku encounter different boundaries of limitations.
Be connected with the universal pattern energy utaelewa kwanini unaweza kuona hata virus kwa macho kisha kumpisha kisa akipata mbali na pua yako kuyafanya mapafu yako kuwa mbali na effects ya ugonjwa flani hence utakuwa ushaongeza life expectance flani hivyo utakuwa na maisha marefu lakini pia utakuwa upp another level of realit..
But he/she who dies early unfortunatly finds himself landering in one of low dimension reality hence your current awareness determines your future quantum realm of nature ..
Narudia tena kuna faida ya kujua mengi kabla hujapata umauti kwani your future life is determined by your currently mind awareness ..