KITINDIKITAMU
Senior Member
- Nov 3, 2019
- 189
- 356
Hata East Africa Radio nao hawawatengenezi wao hao presenters Bali wanawatoa mikoani hasa ebony fm iringa,kuna arusha na Tanga.Kwa asilimia 45 ya watangazaji wanatoka East Africa Radio, Kennedy, Bantu, Mamy, Sinyorita etc