Sometimes movie nzuri sio lazima iwe Kama unavyowaza wewe hata me nilipenda Sana yule mfalme baby cry kutokana na uhusika wake alivyocheza lkn sikupenda alivyokufa lkn haiondoi ubora wa series najua wengi mlikuwa amumpendi cos ya matakwa yenu ila alitendea nafasi vizuri.Weeh!!!..... wakati nilipokuwa naitazama ilikuwa nyakati(2014) sawa na nilizokuwa nairudia The Great King Gwanggaeto.
Just imagine unamaliza kumuona The North Ghost( Mfalme Tam toek) Mfalme ni Mbabe Kupitiliza, unakuja huku( Empress Ki Drama) Mfalme (Yuen dynasty) ni Cry baby kama Camila Cabello, the dude was too weak.
Anyway Batul kama sijakosea jina ndiye aliyenivutia mule ndani. 😁😁Sababu ya kunivutia sababu alikuwa anampenda Peter Pan kwenye A man called god Drama, Alikuwa dada yake na yule bonge aliyekuwa anampenda Vivian.
Kilichonikera ni yule mfalme wa Gogyeo alipouwawa na yule Mfalme Bwege wa Yuen Dynasty.
Usizidharahu Pumba nazo ni chakula cha Ndege na wanyama.