Naomba msaada kwa huyu Mama mjamzito: amepimwa na kukutwa na kisukari wakati hakuwamacho awali

Jun 13, 2020
13
8
Huyu Mama mjamzito alianza clinic wiki ya 13 akapimwa vipimo mbalimbali alikuwa Salama,imefika wiki ya 30( round ya tatu ) ya kwenda clinic Mambo yakabadilika.

Amepatwa ana kisukari lakini awali hakuwa na kisukari, lakini historia ya familia yake mzee wake alikuwa na kisukari, amepungukiwa damu kutoka 12 g/dl mpaka 10 g/dl , (Toka wiki ya 13 mpaka 30 ),

Anatumia dawa ya folic acid (ferrous sulphate) kila Mara tangie aanze clinic ,ameshauriwa atumie mboga za majani na matunda kwa wingi,lkn ni mtumiaji wa mboga za majani na matunda lkn naona damu inaendelea kushuka.

ATUMIE NJIA GANI ILI AONGEZE DAMU KWA HARAKA KABLA SIKU YA MAKADIRIO YA KUJIFUNGUA KUFIKA?
 
Inabidi mumuone daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama na wajawazito, ana matatizo mawili, Upungufu wa damu na Kisukari cha ujauzito. Kunywa folic acid na mboga za majani pekee bila kujua chanzo haitoshi kutibu tatizo, na hapo hujazungumzia nini kinafanyika juu ya hio sukari, ana cormobidities, mumuone bingwa moja kwa moja.
 
Asante mkuu
 
Hiyo ni kawaida kwa baadhi ya wajawazito...mie pia nakuaga na hiyo situation..diabetic pregnancy. .ukishajifungua inaondoka. Bora huyo ana damu 10! Mie nafikaga 8! Na nnajifungua fresh tu
 
Mkuu Rozella Haina madhara kwa mtto..

Haina madhara

Atumie rozella, asali matunda haswa matikiti na machungwa maji mengi matembele na spinach kwa sana akiweza awe anakula na tende

Mimi nilianza clinic nikiwa na damu 11 Alhamdulillah sasahivi nimefika 12.8 ratiba yangu pia kila siku asubuhi nakunywa maziwa nusu lita na viazi vitamu vya kuchemsha, jioni nikitoka mazoezi natumia tende na maziwa fresh
 
Asnate mkuu
 
Back
Top Bottom