Je, ni kweli watu weusi tuna akili ndogo?

Wewe sio tu hujui Kiingereza, hata Kiswahili hujui.

"Uzungu" ni watu? Unajua Kiswahili wewe?

Unajua tofauti ya ngeli ya "U: na ngeli ya "Wa" katika muktadha huu?

Wa Algeria waliozaliwa Ufaransa ni wazungu?

Wamarelani wenye asili ya Afrika ambao wana tamaduni za Kimarekani ni wazungu?
Duu nanona unanipekeka kwenye vitenzi vikulupushi ambavyo hata sivijui
Me nazungumizia white people wa ulaya(asilia) si wahamiaje in term of culture na sio vingine ukizungumzia black people % kubwa wanafanana utamaduni (curture) hatakama amezaliwa ulaya
Me naomba tuishie hapa cos tupo kwenye akili ndogo ya mtu mweusi
 
White people wote ulaya ni wahamiaji, soma historia.
 
Tatizo nini bro unauliza maswali kama mtu yupo ndani ya akili yako ambayo hayana maana
Tatizo ni wewe elimu yako ndogo.

Hujui kanuni za mijadala iliyoenda shule.

Kanuni moja ya muhimu ni kwamba, kabla ya kuanza kujadiliana kuhusu kitu fulani, kitu hicho kinatakiwa kiwe defined vizuri, ili kuondoa au kupunguza uwezekano wa kutoelewana.

Sasa kama wewe hujaweza hata kum define mzungu ni nani, utajadili vipi habari nyingine za kumhusu mzungu?

Kama hatujawa na definition ya kueleweka ya mzungu, tutamjadili vipi mzungu kwa maelewano?
 
Haya semi-aristotle naona unapenda ligi
 
Ngoja kwanza. Naomba kuelimishwa kidogo. Eti ni kweli moto uligunduliwa pahala fulani Afrika katika zama fulani za mawe? Kama hivyo ndivyo basi, kuna sehemu nimesoma eti Munu aliuumba vitu vyoote na viumbe vyoote halafu mwisho kabisa akamuumba binadamu wa kwanza akiitwa Adam na baadae mkewe Eva. Hawa binadamu wa kwanza walizaa watoto wawili mmoja Cain na mwingine Abel na walipokuwa, walitoa sehemu ya mali zao sadaka ya kutekeza kwa Mungu herefore walitumia moto. Inaonekana moto uligunduliwa na hawa viumbe wengine waliotangulia kuumbwa kabla ya binadamu eti ee
 
Unachanganya 'Ujuzi', 'Uelewa' na mahitaji. Kwamba hatukuhitaji vitu walivyohitaji wao haimaanishi hatukuwa na uelewa kama wa kwao.

Ngoja nijaribu hivi: Wao siku hizi wanahitaji dunia nzima iruhusu ndoa za jinsia moja - sisi hatuhitaji, haimaanishi hatuelewi faida na hasara za ndoa za jinsia moja. Sasas, vizazi vijavyo (kama wakiwa na mtazamo kama wako) huenda wakaja kutuhukumu kama unavyosema wewe kwamba uelewa wetu ulikuwa mdogo ndo maana tulikataa ndoa za jinsia moja!!!

Wao walihitaji watu wa kufanya kazi katika viwanda vyao (Ambavyo vilikuwa primitive sana), ndipo wakaja kutafuta watumwa. Kwa kuwa walijua hakuna ambae angekubali kuchukuliwa kirahisi, walitanguliza wamisionari ili kuwafundisha watu dini zilizolenga kuwafanya watu wawe 'submissive'. Tangu hapo ndio tumekuwa ni watu wavivu wa kuzitumia akili zetu, tumebaki kusifia tu kila kizuri ni cha kizungu. Walicheza na mindset zetu nothing more.

We are not using our brains to the max, na siku tukizitumia akili zetu sawa sawa - tutagundua mzungu ni fala tu.
Naaam..
 
Haya semi-aristotle naona unapenda ligi
Kutaka definition ni kupenda ligi?

Na kupenda ligi kuna ubaya gani kama ni ligi ya kutafuta ukweli wa mambo?

Utajuaje ukweli wa mambo ambayo huwezi hata kuya define?
 
Ngoja kwanza. Naomba kuelimishwa kidogo. Eti ni kweli moto uligunduliwa pahala fulani Afrika katika zama fulani za mawe? Kama hivyo ndivyo basi, kuna sehemu nimesoma eti Munu aliuumba vitu vyoote na viumbe vyoote halafu mwisho kabisa akamuumba binadamu wa kwanza akiitwa Adam na baadae mkewe Eva. Hawa binadamu wa kwanza walizaa watoto wawili mmoja Cain na mwingine Abel na walipokuwa, walitoa sehemu ya mali zao sadaka ya kutekeza kwa Mungu herefore walitumia moto. Inaonekana moto uligunduliwa na hawa viumbe wengine waliotangulia kuumbwa kabla ya binadamu eti ee
Habari za kuwepo Mungu na Adam kuwa mtu wa kwanza ni hadithi za watu tu, si historia rahisi.
 
Sisi tuliyegundua moto waliyoutumia watoto wa Adam na Eva kuteketeza sadaka
Sasa kama ni hivi hicho kitabu kina mashaka, Je kuna uthibitisho wowote kweli katika hilo maana kama siyo historia yetu ni uongo basi hicho kitabu cha akina Adam na huyo mama.
 
Sasa kama ni hivi hicho kitabu kina mashaka, Je kuna uthibitisho wowote kweli katika hilo maana kama siyo historia yetu ni uongo basi hicho kitabu cha akina Adam na huyo mama.
Huo ni mwazno mzuri kwa mwafrika kujikomboa kifikra
 
Hatuna akili ndogo, labda tuna ufinyu wa mawazo unaotokana na umaskini uliokithiri, Vita vya wenyewe kwa wenyewe, uwekezaji duni kwenye mambo ya msingi( elimu,afya, utafiti na teknolojia, intelejensia za kiuchumi), uongozi uliokosa dira( kujimilikisha nchi, udikteta uchwara, wasomi wanaopumbazwa na siasa pamoja na ubinafsi) pamoja na ukoloni mamboleo( kuamini ubora wa bidhaa na huduma za nje, mikopo migumu)
Akili zipo sawa, ila mazingira yanapelekea zisutumike kwa weledi sahihi.
 
Technology
27 June 2020
Viewpoint: 'I feel like I was accidentally hired'
By Ibrahim DialloSoftware engineer

Ibrahim has found life as a black programmer very lonely
Ibrahim Diallo got his first computer when he was five, which triggered a lifelong passion for programming.

He has worked as a software engineer in the US for 12 years and in 2018 wrote a much-read blog about how he was fired by a machine, which the BBC covered.

Now, as race issues once again take centre stage in America and beyond, he has shared with the BBC his experience of being a black programmer.

From college to the workplace, I couldn't help but notice that something was missing. Well, some people to be more specific. Where are my fellow black software engineers?

Black people make up 13% of the US population, we are naturally in the minority. But in the tech workforce, we are missing. Among the top eight largest tech companies in the land, black people account for only 3.1% of the workforce. If you only count software engineers and those who work in IT, the number plummets even lower.

Companies report a percentage when asked about the number of black employees. But these numbers can be deceiving. How many presidents of the United States were black? The answer is 2.2%. It feels more tolerable than the reality of just one. So a better question should be, what does it feel like to be a black programmer? The short answer: it is lonely.

I am a Guinean citizen, who went to French school in Saudi Arabia, and now lives in California. I grew up hearing multiple languages spoken around me every day. This experience is what shaped my less-than-common accent. My French is not French, my Fulani is not Guinean, my Arabic is not Arab, and my English is certainly not American. As a result, interviewers have a hard time guessing where I am from in phone interviews. They can never tell I am black.

Ibrahim Diallo
Image copyrightIBRAHIM DIALLOImage captionIbrahim wants to see much more diversity in the tech industry
In 2011, I worked for a company that employed 600 to 700 people. This meant in my team of 30 people or so, I was the only black person. On the entire floor there were four black people, each in their own separate team. The first time I met one of my black colleagues, it was like recess in grade school.

I had so many questions. Who are you? Where are you from? Which school did you go to? How did you become a programmer? But the only thing I said was: "Do you wanna be best friends?" We are still friends to this day.

I spent years working as a consultant hopping from company to company doing projects that lasted from a couple of days to a few months. In all the teams I worked with, I've only met one other black software developer.

I worked for AT&T in a department that had around 150 employees. We were mostly engineers and technical managers. Yet, we were two black software engineers. Where are the other black developers? (The BBC asked AT&T for a response to this but has not yet received one.)

I don't think that it is accidental. My experience of getting a job as a software developer is filled with unfair treatment. For example, the first day I show up for a job interview, the interviewer always looks surprised. Like he didn't expect me to be black.

When I work as a consultant, I can talk with the manager many times over the phone. But the day I come to the office in person, they are taken aback. I often get: "I couldn't tell where you are from on the phone." The fact that they have to say it, tells you everything.

My last name is not common in the United States, so it is hard to place me in any particular group. Because of my upbringing, my accent is just as unusual. I can't help but imagine that if I sounded more African American or just African, I'd be getting fewer opportunities. However, I have a 0% success rate with video interviews.

I've been to job interviews where the receptionist will take me to a whiteboard room. When the interviewer comes in, he'd say: "I'm sorry, you must be in the wrong room."

I've been on stage at a tech conference where I spoke about building our infrastructure. When I get off stage, the talking heads ask all technical questions to my non-technical colleagues instead.

I'd go to see investors with my colleagues and for some reason, I'm mistaken for someone who just happened to be wandering in the building. My worst sin as a start-up founder is being present when an investor embarrasses himself by making insensitive comments. When they realise it, the only thing they want to do is leave the room. Good luck getting an investment from them.

I believe that these can be honest mistakes. Sometimes, people make assumptions that turn out to be wrong. It is only human. There is no grounds to accuse someone of racism. But when it happens over and over and over, you can't help but feel frustrated. You realise that people's natural instinct is to think you don't belong there.

If you are black and you join a Zoom meeting where everyone is white, eventually someone will say: "I think someone joined our room by mistake." If you are black and take a group picture with your white colleagues one evening, eventually someone will make the joke that all they see are your teeth. If you are black and hang out with your white colleague, people will always assume you are the subordinate.

I'd like to believe that my work speaks for itself. That the years I spent tinkering with computers are reflected in my words. That my passion for programming exudes when I speak. But I also can't help but think that I am caught in a numbers game. I am the 0.1% of black people who end up working as programmers.

Meeting black people on the job feels like we are a fluke in the system. As if we were accidentally hired. Perhaps we are hired to meet a quota to score diversity points. Though a very small quota. I can't be the only black person who wants to work in tech. Though here I am, the only black person in the video conference call in our weekly company meeting.

Peter Steiner, a cartoonist at the New Yorker, captured the core spirit of technology in one of his comics. It shows a dog sitting at a computer desk, talking to another dog. It is captioned: "On the internet, nobody knows you're a dog."

The computer doesn't care about the colour of your skin. It doesn't care about the group you belong to. It doesn't care if you are a dog. It processes your commands all the same. I got into computing because it was the coolest thing in the world. I developed a passion for it at an early age and saw myself doing meaningful work.

But what I didn't know is that I don't belong. Everywhere I go, I am the lone black programmer.

Source : 'Accidentally hired' - the lone black programmer
 
Binafsi naamini wote tuna akili sawa; I mean, generally hakuna mwenye akili ndogo wala kubwa kati ya mtu mweusi na mtu mweupe. Isipokuwa nitakubaliana na yule atakaesema sisi watu weusi akili zetu hatuzitumii ipasavyo, kwa uwezo wake unaotakiwa. We don't usually unlock our fully mental capabilities ila akili tunazo sawa tu na whites.

Sasa swali ni kwanini hatuzitumii akili zetu ipasavyo? Ukiniuliza mimi nitakwambia ni matokeo ya kimkakati ya waliotutawala. Walihakikisha wanatubadili kiakili kwanza, once and for all, ndo maana walitumia mbinu za kiimani, kupandikiza hofu. It's all about mind game. Walijua mtu mwenye hofu ni rahisi sana kumpeleka kama unavyotaka.

Ukitaka kuamini kuwa ni mchezo wa akili tu - Chunguza utagundua kuwa South Africans wanajiona bora kuliko mataifa ya nchi za kusini mwa jangwa la Sahara, North African wanajiona bora kuliko South Africans, Waingereza wanajiona bora kuliko Wamarekani, Wajapan wanajiona bora kuliko Wakorea and the list goes on. Na sababu si kwamba wana akili kubwa... naaaaah... - bali ni maendeleo. Baada ya kutawaliwa kiakili tulishindwa kufanya maendeleo na tunashindwa kufanya maendeleo kwasababu nyingi. Mfano walituletea dini ili tuwe submissive; matokeo yake mpaka leo watu tuko busy na dini ambazo wao waliozileta hawana habari nazo. Wao wako busy viwandani wanaunda magari, sisi tuko busy makanisani tunaomba miujiza ya magari. Wao wako busy na cloud seeding sisi tunaamini mvua inaletwa au kuzuiwa na mwenyezi Mungu.

Sisi mtu ana PhD lakini bado anaenda kwa mganga wa kienyeji ili mambo yake yaende,... tatizo hapo sio akili ndogo bali matumizi ya akili ni madogo. Kama unabisha... tuingie mtaani leo tufanye utafiti ni Watanzania wangapi wanaamini kuwa wanaweza kutegemea akili zao kwa 100% pasipo kutegemea kitu kingine chochote katika kufanikisha mambo yao. I am sure, wengi wana ile 'hofu ya Mungu' waliyofundishwa kanisani ambayo sote tunajua inakukataza usizitegemee akili zako. Now, do you expect mtu mwenye imani hii ataitumia akili yake sawasawa? Never.

Kafanye utafiti huo huo kwa whites; kawaulize kama wanaweza kutegemea akili zao kwa 100% pasipo kutegemea kitu kingine chochote katika kufanikisha mambo yao. You'll be surprised brother.

Kwa hiyo, hii notion itabadilika siku tuki-catch up to their speed of development. Otherwise sisi wenyewe tutaendelea kujidharau hata kabla wao hawajatudharau. Jiulize, kwanini kila kitu kinachoonekana ni bora tunakiita 'cha kizungu' - yaani mpaka kuna panzi wa kizungu eti... seriously?!!!!???

Tuache woga, tutumie akili zetu sawa sawa. It is "THINK AND GROW RICH"... sijawahi sikia "BELIEVE AND GROW RICH" au "PRAY AND GROW RICH". Sisemi watu wasisali au kuamini, ila ni vyema tukatumia akili zetu hata katika imani pia.

They are not born better than us, but they use their minds to the max to become better than us. So it's NURTURE not NATURE.
Upo sahihi
 
Wow nice

Wow nice bro
 
Mazingira na dini zimechangia kumfanya MTU mweusi awe mjinga. Angalia nchi zisizofata ujinga wa dini za wazungu na waarabu kama Russia,China na Japan's zilivyo mbali
 
Mazingira na dini zimechangia kumfanya MTU mweusi awe mjinga. Angalia nchi zisizofata ujinga wa dini za wazungu na waarabu kama Russia,China na Japan's zilivyo mbali
Upo sahihi
Uislamu na Ukristo umetufanya wajinga kupindukia
 
Back
Top Bottom