Recent content by Mfumwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Nyani Ngabu, hongera kwa huu uzi. Uzi huu ukitumika vizuri utarudisha kule tulikokuwa JF, kama uwanja wa kuelimishana, kupashana, kuwaidhiana nk, na si uwanja wa matusi, kebehi nk. Kila la heri wana JF wote.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pichani wahusika ghorofa lililoporomoka dar wapandishwa kizimbani

    Mpe haki yake bana, mahakama ndio itajua kuwa alikuwa na makosa ama la, sio suala la kuangalia yaliyopita huko shuleni. Jamaa yuko rumande, anafuata nyayo za Baba yake aliyetuhumiwa kutaka kumpindua Mwalimu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    Tatizo "mfumo kristo" umeanza kutingishika. Maaskofu hawaishi vituko, wanashindwa kujibu hoja za Waislam kwa kutaka Serikali iwajibie. Hilo halishangazi, manake ndio mfumo huo. Tamko kama hili likitolewa na Waislam huo ni uchochezi, lakini upande wa pili ni haki yao. Haya yananikumbusha yale ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania usiku wa leo utaamua Tanzania inakwenda wapi..

    Kaazi kweli kweli....inanikumbusha Shehe Yahya....lakini kuna Nabii Josua pia.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bw. Mohammed Said yuko wapi?

    Nguruvi ina maana Mohamed Said akiondolewa (kifo - siombi hilo japo wote tutakufa, kufichwa, kufungwa nk), haya yote yanayotokea hapa TZ hayatatokea?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Malawi gives Tanzania's ambassador 48 hours to leave Malawi!

    Katika vitu ambavyo tunatakiwa kushikamana ni wakati wa chokochoko ya vita. Sidhani kama una uzalendo kwa haya unayoandika, leo hii TZ ikipigana na Malawi waumiao ni ndugu zetu walioko kule mpakan na wapiganaji wetu, wengine nao tutaumia manake itabidi mambo mengi yasimame kwa ajili ya vita...
  7. M

    JamiiForums Tanzania JK, Ki-Moon wateta mgogoro wa Malawi

    DM, kuzindua ramani mpya ni jambo la kawaida mno, manake TZ sasa ina Mikoa na Wilaya mpya. Sasa katika kuliweka hilo ulitaka mpaka usiweke, na kama ingekuwa hivyo mbona ramani zao wao wanaweka mpaka mwisho wa maji?. Pia tokea nakuwa ramani zinazotengenezwa na TZ zina mpaka katikati ya maji...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliopendekezwa kugombea EAC kutoka CCM

    Hawa wanakuwa 9, ndani ya hao CCM walikuwa nao 8 na mmoja upinzani. Wa CCM 8, watano wanatoka Bara na watatu Visiwani. Ila huyo mmoja wa upinzani, huwa anachaguliwa kwa mizengwe, sababu kura nyingi zinatoka CCM basi huchaguliwa yule wanayemuona anatoka ktk chama kidogo kinachoendana na CCM, ama...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yes madam Speaker, We are stupid!

    Yani inachefua kupitiliza, alishasema kuwa posho zimeongezwa kwa kuwa maisha Dodoma gharama zimepanda. Sasa kuna justification gani walipwe siku tano tu, ina maana Jumamosi na Jumapili (siku za mapumziko) maisha hayako juu. Pia Serikali ipandishe posho za kila mtumishi akiwa Dodoma, ina maana...
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yapongezwa kwa kujenga msikiti

    Al-Masjid DHWALALA
  11. M

    JamiiForums Tanzania My Wedding Anniversary

    Kiongozi, Allah (SW) awape baraka na amani tele, na pia awakuze watoto kayika misingi ya Unyenyekevu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Ni yapi yaliyojiri 1995?

    Nami nichangie kidogo. Mwaka huo pia alikuwepo mwana mama aliyechukua fomu, naye alikuwa ni Bi. Rose Lugendo. Ila alipata wakati mgumu alipoingia kwa usaili mbele ya Nyerere. Kama alivyosema Mkandala, Nyerere alimuomba Dk. Salim aje agombee, wakati huo Salim alikuwa Katibu Mkuu wa OAU. Salim...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dk. Mwele Malecela ateuliwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa NIMR

    Alichapwa maswali 9 kati ya mangapi akashindwa?, hata kama yote 9 alijibu hajui inategemea aliulizwa maswali gani. Sio kila uki-present watu huuliza katika areas zako. Mtu anaweza uliza swali kutokana na anachokijua kwa kufananisha na ulicho-present, na kuwa muwazi hutakiwi danganya.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jaji M.C. Othman Jaji Mkuu mpya wa Tanzania

    Kuna maswali ya kujiuliza 1. Wakati gani mtu hufanyiwa vetting? 2. Vetting hudumu kwa muda gani? Huyu Jaji Othman alishafanyiwa vetting, ndio akateuliwa na Rais kuwa Jaji katika Mhakama ya Rufaa. Kelele kuwa ndugu yake (sina uhakika) Rashid Othman kampendelea katika vetting zingeanza...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Dr Norbert Kayombo afariki dunia.

    Kweli ni huzuni kubwa, alikuwa mtu mcheshi, mwenye hekima, busara na msaada mkubwa. Nakumbuka nilikutana naye ofisini kwake tarehe 27/10/2010. Tuliongea kwa muda wa kama dk 20. Ninapoumia zaidi ni pale ninapokumbuka yale tuliyozungumza na kupanga kuanza kuyafanyia kazi katikati ya mwezi wa 12...
Back
Top Bottom