Malawi gives Tanzania's ambassador 48 hours to leave Malawi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malawi gives Tanzania's ambassador 48 hours to leave Malawi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Viol, Oct 12, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  - JamiiForums imeongea na Balozi Tsere amedai habari hii chini SI YA KWELI. Tunaendelea kufuatilia!

  ***********

  THURSDAY, OCTOBER 12, 2012


  Reports coming from State House indicate that the Malawi Government has declared the Tanzanian High Commissioner to Malawi, Patrick Tsere, as a persona-non-grata.

  This follows his interview with Zodiak Malawi where he made it crystal clear that part of Lake Malawi is owned by Tanzania.

  The report just came hours after the president told the press in Lilongwe that she has called off the talks following reports that Tanzania had sent soldiers to patrol their alleged part of the lake.

  The reports indicate that Tsere has been given 48 hours to leave Malawi.

  This is coming hours after Malawi had pulled out of the talks accusing Tanzania of playing double standards.

  The Malawi president accused the Tanzanian government for sending soldiers to patrol the lake. The reports indicate that the soldiers harassed Malawian fishermen found in the part of the lake under dispute.

  The developments have kindled memories when the British High Commissioner to Malawi was deported by the previous regime of Bingu wa Mutharika.

  Other unconfirmed reports indicate that the talks have resumed


  Source: Malawi declares Tanzanian High Commissioner Persona Non-Grata | Malawi Voice
   
 2. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kwa mujibu wa website ya MalawiVoice (Malawi declares Tanzanian High Commissioner Persona Non-Grata | Malawi Voice), Serikali ya Malawi imemfukuza balozi wa Tanzania nchini Malawi, Mh. Patrick Tsere, na kumpa masaa 48 aondoke nchini humo. Ripoti zilizotoka ikulu ya Malawi zinasema Mr. Tsere ametajwa kuwa ni person-non-grata, ambayo katika ulimwengu wa diplomasia, inamaanisha ni mgeni asiyekaribishwa, na serikali ya nchi hiyo imekata mawasiliano ya kidiplomasia na mwanadiplomasia huyo.
  [​IMG]
  (Tabasamu lenye mashaka)

  Hatua hii imefuatia mahojiano aliyofanyiwa Mr. Tsere na gazeti la Zodiak Malawi ambapo alitamka wazi kwamba nusu ya ziwa Nyasa baada ya mpaka wa Msumbiji, inamilikiwa na Tanzania.

  “Hili sio ziwa Malawi. Ni ziwa Nyasa. Linamilikiwa na mataifa yote yanayolizunguka, Tanzania, Malawi na Msumbiji.” Alisema Mr. Tsere katika mahojiano hayo
  Ripoti hiyo inasema Mr. Tsere amepewa masaa 48 aondoke Malawi. Malawi hivi karibuni imekua ikiishutumu Tanzania kupeleka wanajeshi kufanya doria kwenye upande wa ziwa ambao Tanzania inadai ni wakwake. Pia ripoti hiyo imelalamika kwamba askari hao wa Tanzania wamekua wakiwanyanyasa na kuwakamata wavuvi wa Malawi kwenye upande wa ziwa ambao Tanzania
  inadai ni wakwake.

  Tukio hilo limekumbusha wakati rais wa Malawi aliyepita, hayati Bingu wa Mutharika alipomfukuza balozi wa Uingereza nchini Malawi.

  [​IMG]
  Balozi Patrick Tsere kwenye interview hiyo iliyuzua sakata la yeye kufukuzwa nchini Malawi. Picha kutoka zodiakmalawi.com

  .
  Saga la ziwa Nyasa; Malawi yamfukuza Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Mr. Patrick Tsere « Habari  sasa si aondoke, kwanza alikuwa anaharibu kodi zetu tu, inatakiwa wafunge ubalozi kabisa siyo aondoke tu
   
 3. B

  Bahati Risiki JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hao ni watumishi wa DHAIFU acha wamrudishie kilicho chake. Sii alisema Joyce ni dada yake? Udada umeishia wapi tena?
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  jana nikiwa maeneo ya mwenge niliona magari 30 mampya ya kijeshi nikajua kimenuka ni swala la muda tu..
   
 5. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Dalili mbaya!kuna uwezekano wa kutokea mapigano sasa!tujiandae.
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mamaaaa,dhaifu yuko nchi au bado anabembea na farasi??vita inanukia
   
 7. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,173
  Likes Received: 1,177
  Trophy Points: 280
  Nashauri tz isifungie Malawi ubalozi wao hapa nchini (kama wanao),...
   
 8. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kimenuka?? Si katika utawala huu wa JK...
   
 9. Root

  Root JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,263
  Likes Received: 12,981
  Trophy Points: 280
  Hizi ni nyakati za mwisho mtasikia vita n tetesi za vita,taifa litanyenyuka kupigana na taifa jingine falme na falme zitapigana mkiona haya jua mwisho u karibu.
  Ni Mungu pekee atatuokoa twaweza kujishusha ila panaweza kuwa na pande inayotaka vita ili tutengane

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 10. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  Balozi si yule aliyekuwa anashindana na Dr.Slaa Karatu Patrick Tsele kama sikosei...
   
 11. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Hahahaha hao wa Nyanja tutawamisha hapo Malawi na kutangaza mkoa mpya very soon hahahaha
   
 12. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kama mbwai mbwai tu.
  Sasa ni muda muafaka kuwashikisha adabu wanyasa.
  Cha kwanza ni kumdeclare balozi wao kama person-non grata na anapewa 24 hrs kuhakikisha ameshavuka border!
   
 13. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hivi hawa jamaa wana faida sana kwetu? kwasababu wanatumia bandari yetu? ili kuwakomoa, sisi tusimfukuze wao wala nini, aendelee tu kubaki hapahapa tz. kwenye blog zao nimeona wanaringa ati Tz tutapata hasara sana kama wao wakibadilisha njia wawe wanaingiza bidhaa through mozambique, ati tutapata hasara kuliko wao ambao wako landlocked....wamalawi hawana akilia ajabu.
   
 14. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Katika vitu ambavyo tunatakiwa kushikamana ni wakati wa chokochoko ya vita. Sidhani kama una uzalendo kwa haya unayoandika, leo hii TZ ikipigana na Malawi waumiao ni ndugu zetu walioko kule mpakan na wapiganaji wetu, wengine nao tutaumia manake itabidi mambo mengi yasimame kwa ajili ya vita.

  Lile ziwa tunahitaji strategy kubwa mno kumaliza huo mgogoro ambao haujaanza leo. SADC na AU wameshaelezwa, UN pia. Mazungumzo wamalawi wamejitoa, sababu mojawapo ni kutolewa ramani mpya ikionesha mpaka unapita kati ya Ziwa. Hii ni sababu ya kitoto mno, manake ramani zote za TZ zilikuwa zikionesha huo mpaka, sasa kwa nini tutoe ramani mpya mpaka tusiuoneshe?. Tumewapiga bao la kwanza wao kujitoa katika mazungumzo, bao la pili wanaanza wao kumfukuza Balozi wetu. Kama wanajianzaa kwa vita, sisi kwa itifaki tutawaacha mbali mno hivyo kuweza kutumia nchi nyingine kuwadunda.

  Hivyo nakusihi, kwa hili hata kama unamchukia JK, unahitaji kuonesha uzalendo kwa nchi yako. Kumbuka chokochoko hizi ni kwa mafuta ya Ziwa Nyasa tu yanayotafutwa, zitakuja nyingi sana utakaposikia kuwa na Baharini kuna mafuta. Usidhani Malawi wanayofanya wameamua tu, kuna mkono/mikono ya watu. TAFAKARI.
   
 15. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Malawi inatulazimisha kuingia vitani na sisi hatuko tayari kuingia vitani kabla ya kuwa na mazungumzo ya mezani. Lakini kama itabidi kuingia vitani kabla ya muafaka serikali ya Malawi inatakiwa itambue kwamba hatutaki kuharibu uchumi wetu tena kama tulivyoharibu katika vita na Iddi Amin kule Uganda.Safari hii lazima tupigane na Malawi kwa faida, tukifanikiwa kuipiga Malawi tutaiteka Ardhi yao na tutajenga makazi kama wanavyojenga walowezi kule ukanda wa Gaza.PERIOD.
   
 16. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Malawi imeingia kwenye hatua nyingine,huyu Mama inaonekana yupo tayari kwa lolote.
   
 17. Root

  Root JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,263
  Likes Received: 12,981
  Trophy Points: 280
  Hapa ni kufikiria future ya watoto wettu,wazazi,kwanini vita? Najua malawi wanatumiwa na nchi nyingine kutusumbua hahahah

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 18. StayReal

  StayReal JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  There is more to this that what we are told!!
   
 19. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #19
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Automatically we will have to expel Malawi's ambassador as well in retaliation!
   
 20. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #20
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  Ohoo! Yani ndo tumefikia huko?

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...