CHADEMA yapongezwa kwa kujenga msikiti

Taasisi ya Amani ya Kiislam (IFP) imekipongeza chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kwa kujenga msikiti katika kijiji cha Nshara mkoani Kilimanjaro,msikiti ambao umejengwa kutokana na michango ya wabunge wa chama hicho.
Mkurugenzi wa taasisi hiyo Sheikh Sadik Godigodi amesema kitendo kilichofanywa na chama hicho kinafaa kuungwa mkono vyama na watu wengine kwani wameisaidia jamii.Sheikh Godigodi amesema wabunge wa chama hicho walichanga zaidi ya shilingi milioni 30 kiwango ambacho ni zaidi ya sh milioni 16 zilizokuwa zikihitajika.
Pia Sheikh Godigodi aliitaka serikali kutokupuuza maoni yaliyowasilishwa ikulu na Chadema kuhusiana na mchakato wa katiba mpya kwani Chadema ni chama kikuu cha upinzani nchini na kinachopendwa na watanzania wengi.

SOURCE: MTANZANIA uk. 5

Ukisikia umbea unafiki uzandiki ushakunaku uchonganishi ndo huu! Hivi Mwenyekiti wa chama kualikwa kuongoza harambee ya kuchangia msikiti tayari mmeshaanza kupotosha mambo, Mbowe aliongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa msikiti, siyo kila kinachofanywa na Mbowe ni cha chadema. Huu ni upotoshaji.
 
Hizo ni harakati za kujikosha kwa waislam japo wale jamaa huwa hawadanganyiki.huyu Godigodi hana historia nzuri kwa jamii ya kiislam kwani aliwahi kutumika kutoa tamko flani wakati wauchaguzi igunga.juzi tena ametoa kuhusu chadema na uislam.maonin yangu ni kuwa ni vyema cdm ingetafuta mtu mwingine wa kuyasema haya mambo ya kiislam Godigodi hana impact hata kidogo.hata huo mskiti wailam wanaweza wasiingie kuuswalia.
 
waislamu hawahitaji msikiti wanazo za kuwatosha! Wanachohitaji waislamu ni mikakati ya kuwanasua na umaskini, shule, hospitali, ajira, ubaguzi wa kidini, mfumo kristo tz, nk. Hivyo chadema wasijidanganye kwa kuwajengea waislamu vijisikiti ili wapate sapoti ya waislamu ktk uchaguzi wa 2015!!

Wakati wa kudanganywa na vijikofia, kanga, fedha nk. Umepitwa na wakati na waislamu wako macho na hila za vyama vya siasa bali waislamu wa tz wanajipanga imara kwa kuchagua chama madhubuti kitakacho kuja na sera safi mbele ya waislamu na ndipo waislamu watakapo ingia mkataba na hicho chama ikiwa wanataka kura ya waislamu basi wawe tayari kukubali masharti yao!!!

Kinyume chake waislamu watapokea kanga, vikofia au fedha zenu lakini kura ng,oo

nani aliekupa mamlaka ya kuongea kwa niaba ya waislamu?...ongea kwa niaba yako!!!
 
nimesoma hii thread na uchangiaj toka juu ila kuna jambo cjalipenda kwani wachangiaji ambao wanaonekana wana mlengo wa dini husika wanaweka mbele zaidi suala la kutaka kiongozi atayejali matakwa yao bila kuangalia upana wa jambo lenyewe cjui kama na wa dini nyingine wakisema wachague kwa udini kama wao wanoutaka nani atashinda? wanajua percent yao ni ngapi ktk population ya nchi hii? je dini yenye wafuasi wengi ni ipi? do they stand a chance kama wakisema wachague kiudini?
 
hahahahha. posho za wabunge hizo.ok any way Chadema kama kweli huo si unafiki watueleze kwanini wanaungana na makanisa kupinga OIC na mahakama ya kadhi? huku makanisa yakinufaika na vertican?

Maoni yako hayafanani na sura yako! Jaribu kuwa na mawazo positive!
 
Q2:14. Na wanapo kutana na walio amini husema: Tumeamini. Na wanapo kuwa peke yao na mashet'ani wao husema: Hakika sisi tu pamoja nanyi. Hakika sisi tunawadhihaki tu.

Kama hamtabadilika, mtabaki kulalamika hivyo hivyo milele!
 
Hizo ni harakati za kujikosha kwa waislam japo wale jamaa huwa hawadanganyiki.huyu Godigodi hana historia nzuri kwa jamii ya kiislam kwani aliwahi kutumika kutoa tamko flani wakati wauchaguzi igunga.juzi tena ametoa kuhusu chadema na uislam.maonin yangu ni kuwa ni vyema cdm ingetafuta mtu mwingine wa kuyasema haya mambo ya kiislam Godigodi hana impact hata kidogo.hata huo mskiti wailam wanaweza wasiingie kuuswalia.

HIVI NINI SASA?
LIPI JEMA ?Haya mambo ya wakristo na waislam ni pasua kichwa tu...
Cant we reach a compromise?

waislam hawadanganyiki.huyu Godigodi hana record nzuri ktk jamii ya waislam cdm waache kumtumia atazidi kuwaharibia.tunamfaham vizuri na njaa zake.
 
Chadema bana, wanadhani watatuhadaa. kama kweli sio wanafiki mbona kimya kuhusu MOU? yangalifanyika k wa waislam dk slaa na wenziwe ungalisikia wanavyotoka kipovu bungeni Kuhoji. lkn kwa kuwa lao aaaaaaaaaaaa. wacha tu wafaidi wenzetu hawa

jamani msikiti ni huduma ya kijamii.kwahiyo sioni ubaya wa chadema kujenga.kwani serikali ikijenga hospitali mbona hamja kataa kwenda mkitaka kwanza mahakama ya kadhi? hii jazba ndo ilifanya ndugu waislamu wasipeleke watoto shule kipindi hicho wakisema watakula nguruwe.madhara yake mnayaona sasa hivi.siyo kila wakati unaweza kutatua kila jambo.
 
waislamu hawahitaji msikiti wanazo za kuwatosha! Wanachohitaji waislamu ni mikakati ya kuwanasua na umaskini, shule, hospitali, ajira, ubaguzi wa kidini, mfumo kristo tz, nk. Hivyo chadema wasijidanganye kwa kuwajengea waislamu vijisikiti ili wapate sapoti ya waislamu ktk uchaguzi wa 2015!!

Wakati wa kudanganywa na vijikofia, kanga, fedha nk. Umepitwa na wakati na waislamu wako macho na hila za vyama vya siasa bali waislamu wa tz wanajipanga imara kwa kuchagua chama madhubuti kitakacho kuja na sera safi mbele ya waislamu na ndipo waislamu watakapo ingia mkataba na hicho chama ikiwa wanataka kura ya waislamu basi wawe tayari kukubali masharti yao!!!

Kinyume chake waislamu watapokea kanga, vikofia au fedha zenu lakini kura ng,oo
Ule mkataba wenu na CCM wa kuleta mahakama ya kadhi na kuingia OIC utatekelezwa lini? JK mwislamu mwenzenu kawatosa. Membe nae keshajua udhaifu wenu kaanza kuwanyemelea. Waislamu wenzenu Mwinyi na JK wameshindwa atakuwa Membe mkristo? Mtakuwa siku zote mtaji wa kutafutia kura kwasababu mnadai visivowezekana. Sawasawa na Mpalestina kuota siku moja Jerusalem itakuwa makao makuu ya Palestina. The problem with these our broz is that they never see the reality. For them the reality is in the Qoran while the reality is that the book is very far from reality n thats why they are in war with everyone even themselves.
 
Achana na hadithi za Msela mnaiyemuita mtume
Yule kweli ni msela. Ni kwa vile tu watu wanakidharau kile kitabu hawakisomi lakini kina full vituko. Eti Alexender the great alifatilia jua linakozama akakuta kinaingia kwenye kisima kidogo chenye maji na matope. Msela alikuwa anaaminiwa kuwa ni mtume anajua kila kitu kumbe maskini hakujua lolote. Pia hakujua kwamba angeumbuka badae kiasi hiki kwa maarifa yaliyopo sasa hivi. Lakini naamini Waarabu ukweli walikuwa wajinga sana mpaka wadanganywe kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom