Yes madam Speaker, We are stupid!

Kwa wale vijana wazamani kidogo sio sanaa...enzi za mwl mtakumbuka kipindi cha RTD zama zile " Mambo ya Pwagu na Pwaguzi " kwa sasa mambo yanavyoendelea ndani ya sirikali yetu ni kama kile kipindi.....!!!! Very funny...

Hata kama ikijulikana kweli mkulu ali izinisha hiizi posho ......hakuna wa kuwajibika hapa....ni kulaumiana tuu kila siku na kupiga porojo yaani ...ni kama weee Pwaguzi weeee.......ni sasa unafanya!!!
 
Wee kaaa chini!

jamani ni kichekesho kuwa na rais mwenye mitazamo ya ajabu! unawezaje kuzidiwa katika kutoa maamuzi na waziri mkuu wako au spika wa bunge? hivi huyu mr president anamawazo ya aina gani? inatia uchungu kuwa na kiongozi ambae hajui hata ndani ya nyumba yake kuna nini
 
Hali hii ingesaidia sana kuondoa uongo kwa hawa wanaojiita viongozi kama kungekuwa na kiapo kwa hawa watu................. Ila sipati shida kuhusu Pinda Dogo mmoja ndani ya mjengo alimwambia PM ni Mwongo mpaka leo wako kimya. Kimya hiki ni uthibitisho tosha kuwa jamaa ni waongo watu wasioaminika......................
 
Inawezekana kwamba Tanzania ni nchi pekee Dunian ambayo viongozi wake si waumini wa matendo yao wala maneno yao,,yani ni nchi pekee ambayo kiongozi anaweza kuikataa kauli yake mwenyewe ,,Jk alishakataa mengi ambayo aliyasema mfano alipowaita wafanyakazi mbayuwayu....lakini napata wazo kuwa kwa sasa JK anajilazimisha kuongoza na wala hana mamlaka na hii nchi,,,kama kweli anamamlaka iweje posho ziongezwe bila idhini yake ? na mbona kipindi chote ambacho Spika na katibu wa bunge walipopishana kauli kama wanavyopishana sasa mbona Jk hakusema kitu kama mkuu wa nchi? kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya filauni....KIFUPI HATUNA RAIS ,KILA MMOJA NA RAIS KWA NAFASI YAKE...POLE SANA JK POLE KWA YOTE SASA UMEONA KUWA IKULU NI MGOGORO......LOLI SIKUAGHILE NYALI
 
jamani ni kichekesho kuwa na rais mwenye mitazamo ya ajabu! unawezaje kuzidiwa katika kutoa maamuzi na waziri mkuu wako au spika wa bunge? hivi huyu mr president anamawazo ya aina gani? inatia uchungu kuwa na kiongozi ambae hajui hata ndani ya nyumba yake kuna nini
KILAZA: hatujawahi na kilaza wa aina hii toka tupate Uhuru.
 
Kama ulimsikiliza mama jana, yeye kinachomsikitisha ni kuwa Watanzania wanadanganywa na waandishi wa habari, kuwa wabunge wetu wanachukua posho siku 365 za mwaka, ndicho kinacho muuma, anasema '' Jamani hizi posho ni za siku tano tu kwa wiki na kipindi ambacho tuko hapa Dodoma kwenye maisha magumu''

Kwa upumbavu wa mama spika anadhani sisi hatuelewi hii posho ya makalio! Kwa ujinga wake anadhani kuwa anaweza kupata huruma ya Watanzania kwa wizi huu wa mchana!

Mama spika anapaswa kufahamu kuwa tumechukizwa na vitendo vya bunge lake la kifisadi kuwa sehemu ya genge la majambazi, wezi na wahujumu uchumi kwa kutumia fedha zetu bila kuwa na bajeti rasmi!
 
jamani ni kichekesho kuwa na rais mwenye mitazamo ya ajabu! unawezaje kuzidiwa katika kutoa maamuzi na waziri mkuu wako au spika wa bunge? hivi huyu mr president anamawazo ya aina gani? inatia uchungu kuwa na kiongozi ambae hajui hata ndani ya nyumba yake kuna nini

Hivi huyu tulienaye ni presida au mfano wake?
 
yah! we are but muda wenu utaisha wetu ukifika tutachukua hata mbao zitakazotumika kwenye majeneza yenu, ok faidini tu lakini lazima wajukuu zenu lazima tuwafirisi mali mnayowalimbikizia. A stupid man once in a while will be wise
 
Jakaya mrisho kikwete hamuhitaji pinda katika safu ya uongozi wake......na hi inatokana na pinda kutokujua majukumu ya kazi zake....sasa hivi jk ameamua kumuadhibu pinda kwa kumuaibisha kwa wananchi kwa kila kitu pinda atakachosema basi ikulu itatoa tamko la kupinga.....kuna mamabo kama matatu ambayo ikulu tayari imeyakanusha mara baada ya kutolewa na pinda...pinda anapaswa kutambua hilo hatakiwi na hajui majukumu yake

JK anamuaibisha Pinda au anajiaibisha mwenyewe? Kuwa rais wa nchi maana yake nini kwa mujibu wa katiba mbovu iliyopo? Rais wa nchi hajui mapato ya nchi wala hajui vipaumbele vya wananchi wake!
 
kaharufu ka Asha Rose kupewa nafasi ya Pinda, na hapo ndiyo utakuwa mwisho wa mbio za urais kwa wengine, hili la posho litaenda na wengi kusema za kweli, watu wanalipana kabla ya kuidhinishwa, sijapata ona kwa kweli.
 
Yes we are! Vinginevyo tukiulizwa "je posho za vikao vya wabunge zimeongezwa?" Tutajibu vipi?
Ukweli ni kwamba ikulu na bunge wameamua kucheza mchezo wa kutupiana maneno ili kujaribu kuukwepesha ukweli mbele ya watanzania(this is the way they always use to operate...lets don't forget this)....ukweli unabaki pale pale.....wanalipana 200,000 kama posho za vikao bungeni (be it rais kasaini or not)..period....
 
I have no idea, who is the most stupid person of all the time????? ukifatilia swala la posho utamjua!!!!!
Akisema ameidhinisha wenzake ndani ya chama hawatamuelewa!! ni bora kibakie kitendawili wakati mambo yanaendelea gizani
 
Sarakasi zinaendelea
nauliza hivi wabunge
si walijengewa hostel huko dom
ikawaje sasa tena
badala posho kupungua znazidi?

Jama nimeuliza tuuu!!!!!
 
Kama ulimsikiliza mama jana, yeye kinachomsikitisha ni kuwa Watanzania wanadanganywa na waandishi wa habari, kuwa wabunge wetu wanachukua posho siku 365 za mwaka, ndicho kinacho muuma, anasema '' Jamani hizi posho ni za siku tano tu kwa wiki na kipindi ambacho tuko hapa Dodoma kwenye maisha magumu''

Yani inachefua kupitiliza, alishasema kuwa posho zimeongezwa kwa kuwa maisha Dodoma gharama zimepanda. Sasa kuna justification gani walipwe siku tano tu, ina maana Jumamosi na Jumapili (siku za mapumziko) maisha hayako juu. Pia Serikali ipandishe posho za kila mtumishi akiwa Dodoma, ina maana nchi hii ukienda Dodoma posho itakuwa tofauti na mikoa mingine?, according to baadhi ya Wabunge wanavyotaka.
 
Back
Top Bottom