Recent content by Mfugaji wa kuku

  1. Mfugaji wa kuku

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016

    Yap, ni uhakika au shuleni kwenu ulivuja?
  2. Mfugaji wa kuku

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016

    Madogo wamekimbiza mbaya, naona sasa heshima itakuwepo mtaani maana kuvuja kwa mitihani ndio kuliwabeba private school. Sasa mitihani haijavuja gvt zimekimbiza
  3. Mfugaji wa kuku

    JamiiForums Tanzania Misanya Bingi sasa ni Daktari wa Falsafa (PhD)

    Fisi ni mwanaume anayependa Sana watoto Wa kike ambao ni weupe kwa rangi.
  4. Mfugaji wa kuku

    JamiiForums Tanzania Unampa maksi ngapi huyu jamaa?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  5. Mfugaji wa kuku

    JamiiForums Tanzania Misanya Bingi sasa ni Daktari wa Falsafa (PhD)

    Kwa hiyo mimi nimesema ni mbuzi??
  6. Mfugaji wa kuku

    JamiiForums Tanzania Misanya Bingi sasa ni Daktari wa Falsafa (PhD)

    Jamaaa alikuwaga fisi mbaya, kuna maeneo kadhaa nishakutana nae! Ila Hongera zake kwa kupata PhD
  7. Mfugaji wa kuku

    JamiiForums Tanzania Wataalam kutoka Rwanda

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Mfugaji wa kuku

    JamiiForums Tanzania Wataalam kutoka Rwanda

  9. Mfugaji wa kuku

    JamiiForums Tanzania Kwanini wamarekani weusi hulalamika wanapouawa na wamarekani weupe, Ikiwa wao wenyewe pia huuana?

    Kuna siku akili yako itapanuka na kuelewa kwanini.
  10. Mfugaji wa kuku

    JamiiForums Tanzania Nahisi kifo changu kitatokana na kupigwa risasi

    Kama kuna mtu anakudai mlipe mapema! Kama upo na mke/mchumba wa mtu mwache mapema Kama una urithi uandike mapema
  11. Mfugaji wa kuku

    JamiiForums Tanzania Germany vs France: EURO 2016 Semi-final (LIVE Updates)

    Germany anashinda!
  12. Mfugaji wa kuku

    JamiiForums Tanzania Tovuti mbaya za serikali zilizotengenezwa na watalaam wa IT wa Tanzania

    Kuna mwingine alijifanya kuanzisha whatApps ya kitanzania, upuuzi mtupu hamna kitu. Wanachojua ni kupotezea watu mda na megabyte zao
  13. Mfugaji wa kuku

    JamiiForums Tanzania Leo nimewavulia kofia wachawi

    Yohana 3:9
Back
Top Bottom