Wataalam kutoka Rwanda

Jul 1, 2016
52
32
1467991455851.jpg
 
Hata mi naliona! Muda wowote Tz inakuwa kama congo. Itakuwa aibu aise!

Mkuu, tuombe Mungu atupe uhai. Rwanda wajanja. Congo Mashariki wamepenya wanafaidi mema ya nchi kule. Sasa ni zamu ya Tanzania.

Siku ikatokea tumetofautiana nao watakaoumia ni Watanzania wa kawaida na wala si aliyesababisha hayo.
 
Bado sijaelewa, inamaana bado hatuna wataalam wa IT mpaka tuazime Rwanda?
 
Mkuu, tuombe Mungu atupe uhai. Rwanda wajanja. Congo Mashariki wamepenya wanafaidi mema ya nchi kule. Sasa ni zamu ya Tanzania.

Siku ikatokea tumetofautiana nao watakaoumia ni Watanzania wa kawaida na wala si aliyesababisha hayo.

Tuombe yasitokee ya congo mi nimeishi na hawa watu! Kwanza ni wabinafsi, wanajiona, wanapenda watoto wao wa kike waolewe na viongozi wa siasa na jeshi. Ndo niliamini kwa nn ugomvi wa wahutu na watutsi hauwezi kuisha.
 
Unachokisema nakubaliana nawe. Hapo kweli umethibitisha umeishi nao.

Watafanya kazi hiyo ya IT kwa manufaa ya nchi yao;kwa ajili ya wakati huu wa urafiki na hata wa uadui wa kesho ikitokea.

Watanzania ndio tutaopoteza badala ya kufaidi hicho kiitwacho utaalamu wa habari mawasiliano toka Rwanda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom