STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
MKE NA MUME KWENYE HONEY MOON
MKE:::::mume wangu sitaki uniambie unataka tufanye mapenzi, sitaki uniambie unataka tuband,sitaki uniambe tufanye sex, sitaki uniambie kwa ishala, kifupi sitaki uniambie yale maneno yaliyo zoeleka na wengi Leo ni siku yangu special nataka uniambie maneno mapya mume wangu .
MUME::::: usijali mke wangu mpendwa, Mimi nitamwita huyu mwenzangu MFUNGWA halafu huyo mwenzako nitamwita GEREZA, kwahiyo itabidi tumchukue mfungwa na tumuingize, GEREZANI Mke alifurahi kweli yale maneno ya mumewe, wakamchukua mfungwa wakamuingiza gerezani baada ya muda wakamaliza, mke akawa bado
anahamu akamwambia mumewe....
MKE::::::naona mfungwa katoroka gerezani itabidi tumkamate na tumludishe Wakampeleka mala ya pili, yatatu yanne na yatano, mume akawa yupo hoi ila mke akawa bado anataka kuendelea ndipo alipo mwambia tena.....
MKE::::::naona mfungwa katoroka gerezani
MUME:::::::KWANI KAFUNGWA MAISHA KAMA KATOROKA. ACHANANAE!!!"