Leo nimewavulia kofia wachawi

Leo nimewavulia kofia wachawi

Hawafai kabisa mkuu. Kukuua wamekuua bado wanataka na vitu vingine ukiwa umeshakufa. Nimechoka kabisa, mbaya zaidi utakuta wapo hapo hapo msibani aidha wakivuga kulia
Hao watu ni hatar sana
 
Hawafai kabisa mkuu. Kukuua wamekuua bado wanataka na vitu vingine ukiwa umeshakufa. Nimechoka kabisa, mbaya zaidi utakuta wapo hapo hapo msibani aidha wakivuga kulia
Hao watu ni hatar sana
 
Duniani kuna mengi sana yaliyojificha kama ujashuudia au kukutokea unaweza usiamini. Kuna watu wanafanyia wenzao vitu vya ajabu na kushangaza sana. Pole sana mkuu Mungu akutie nguvu
Mkuu yale tunayoona,ni machache sana na mengi hatuyaoni
 
hapa unaweza ukacomment ukashangaa unaamka asubuhi na wewe wamekunyoa
 
Polen jamani lakini suluhisho ni kuokoka ndugu zangu hiyo mambo kamwe haiwezi kukutokea wewe wala walio wako.
 
Hata panya wanaweza kunyofoa kipande cha nyama kutoka kwa maiti! Lakini ati unasema baadaye mkaona dosari hiyo imetoweka? Hebu tuvumilie wajinga na uwe muwazi zaidi!
POLE SANA NDUGU!
 
Hawafai kabisa mkuu. Kukuua wamekuua bado wanataka na vitu vingine ukiwa umeshakufa. Nimechoka kabisa, mbaya zaidi utakuta wapo hapo hapo msibani aidha wakivuga kulia

Inawezekana hawakumuua ila walikuwa wanachukua 'VINGIRA' vya ndumba za utajiri, unajua tena huo ukamda wa machimbo ulivyo na ushirikina!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom