Kisimiri kakimbiza tena.
Noma sana hiyo shule, alafu mchanganyiko.
Kisimiri kakimbiza tena.
Habari Wana JF,
Haya watahiniwa mlitihaniwa 2016 jitazameni kama ni Elimu ya juu au diploma, matokeo yenu yapo hewani. Ila three nyingi hazitoenda chuo kikuu. Kwa maana mtu kapata DE, BE na kadhalika.
nimepata div 3 point 14
Gs S
Kisw D
Geog S
Eng D naweza kuingia chuo kikuu mkuu tafadhal msaada
Unaenda kwasababu unazo principal 2 za masomo ya msinginimepata div 3 point 14
Gs S
Kisw D
Geog S
Eng D naweza kuingia chuo kikuu mkuu tafadhal msaada
Shule yetu hureee......am happy vijana wetu wanaanza kujitambua sasa!!ilboru imepiga poa sana, imekuwa ya 9 kitaifa na hakuna div 4 wala 0, tuliosoma ilboru tupongeze wadogo zetu waliomaliza pale
View attachment 366428 View attachment 366427 View attachment 366427 View attachment 366427
nimepata div 3 point 14
Gs S
Kisw D
Geog S
Eng D naweza kuingia chuo kikuu mkuu tafadhal msaada
hakika shule za serikali zinarudi kwenye ubora wakeKIBAHA
Div -I= 90, Div-II= 59, Div-III= 14 Div-IV= 1 Div-0= 0
POSITION NATIONALWISE = 7
KISIMIRI
Div -I=50 , Div-II=13 , Div-III=0 Div-IV= 0 Div-0= 0
POSITION NATIONALWISE = 1
ILBORU
Div -I= 116, Div-II= 72, Div-III= 30 Div-IV= 0 Div-0= 0
POSITION NATIONALWISE = 9
TABORA GIRLS
Div -I=62 , Div-II= 56, Div-III=56 Div-IV= 15 Div-0= 0
POSITION NATIONALWISE =13
Mzumbe, Tabora Boys na SHULE ZA VIPANGA LOADING.........
Mchwa Shababi
NAONA SASA SHULE ZA SERIKALI ZINARUDI KWENYE UBORA WAKEShule yetu hureee......am happy vijana wetu wanaanza kujitambua sasa!!
Tatizo madogo wa O' Level...huyu mkuu mpya Shulla inabidi awakazie sana...naona wanapanda vizuri sanaShule yetu hureee......am happy vijana wetu wanaanza kujitambua sasa!!
Wewe una sifa za kwenda chuo kikuu kwa sababu una principal pass 2nimepata div 3 point 14
Gs S
Kisw D
Geog S
Eng D naweza kuingia chuo kikuu mkuu tafadhal msaada